mume wangu jamani


Aisee... Nililikuwa sijui nini kimetokea, dah


Tunamshukuru Mungu kwa JF... maana ni kweli anasamehe.. Michelle akapata hekima ya kumjibu


Ukafuta ushuhuda..Ulienda kanisa gani??


Gaga sasa utulie, endelea kumjua Mungu na kumtegemea yeye kwa kila kitu.
 

Ahsante sana mpendwa
 
Thank for the feedbak. Sasa yule meeeeeh aliyekuwa akilia kama mbuzi wakati wa shughuli ukimuona unacheka au unafanyaje?

Sizidishi bana mlio ulikuwa haueleweki kwa kweli
 

Ahsante dinnah kwa post nzuri, nimeachana na yale ya zamani kabisa niko huru na ndio maana nimerudi kutoa shukrani nafurahi kwa upenda posts zangu inatia moyo kwa kweli
 

Sikuacha tu tatizo liwe halali bali nilihangaika kwa kila njia unayojua wewe ila sikufanikiwa bi mkubwa mpaka milango ilipofunguka yenyewe kwa neema za mungu.tatizo halipo tena
 
Mie nakushauri dada yangu jaribu kwenda kwenye vituo vya maombi wewe na mume wako mkaombewe,inawezekana mume wako kapigwa juju na nyumba ndogo na hayo ndo matatizo yanayowakumba wanaume wanaotoka nje ya ndoa zao,ongea na mume wako muambie muende mkaombewe na yote hayo yataisha na utafurahia tendo la ndoa na mumeo kama zamani.Wapo wengi walikuwa na tatizo kama la mumeo lakini baada ya maombi wamepona.
 
Sizidishi bana mlio ulikuwa haueleweki kwa kweli
Hivi gaga mlio wakati ule wa majambo uwe wowote ule kutokana na mtu anavojisikia si ni raha tupu? maana mie sipendi kimyakimya, au ulitaka anyamaze kabisa? samahani kwa swali hili upo kwenye twenty's or thirty's samahani kwa kukuuliza unaweza nijibu humu au pm au nipotezee
 

Miguno milio muhimu ila isizidi kuwa ya ajabu sana inatisha baada ya kuburudisha, nipo thirty's mwanzoni vipi naonekana mtoto au vipi? nini kimekufanya uulize umri wangu? halafu thread yangu ya shukrani imekuwa moved humu nashangaa kwa nini embu mwenye uelewa anijulishe nimempm invisible kanichunia tafadhali mwenye uelewa anijulishe ni kwa nini?
 
I am happy for you Gaga, Mungu akubariki wewe na familia yako.Hongera kwa kuwa mvumilivu katika kipindi hicho cha majaribu makubwa.
 
I am happy for you Gaga, Mungu akubariki wewe na familia yako.Hongera kwa kuwa mvumilivu katika kipindi hicho cha majaribu makubwa.

Ahsante sana kiraka kaka angu, nakupenda, ulinishauri vizuri sana mungu akubariki na wewe, ulikuwa wapi mpaka thread imemuvuzishwa humu?maisha yalikuwa magumu mpaka nikataka kukopi signature yako kihalisia
 

yamekwisha landala ishakuwa history thanx ndugu yangu
 
jamani topic ya thanx imepotelea wapi tena? Gaga hongera, na usiache kumuomba Mungu kila wakati ili ailiende ndoa yenu. manake duh uliyopitia ni makubwa haswa
 
Pole kwa yote,kwanza ushauri wangu huu:wanaume hufuata vionjo tofauti nje ya ndoa,yaelekea ulimboa ndo maana alianza kutoka,hivyo anza kwa kujirekebisha,jiweke fresh yaani uvutie;vitu vidogovidogo kama kuvaa poa(chupi za kuvutia,nguo za kuvutia n.k),pia kuoga fresh,nyoa chini,kwa ujumla kuwa kama vile madada poa wanavyojiweka ili umvutie.unajua msemo usemwao kiume kwamba treat your wife like a bitch!!!yaani unatakiwa mmeo akuone kama bitch kila wakati ili umvutie.Pia mnapokuwa bed,anza kwa kumtamanisha penzi usimsubiri yeye asimamishe dudu ndo akupande bali mfanyie mambo,mi kwa mfano napenda mwanamke ambaye ikiwezekana atanifanya nikojoe kabla hata sijamfanya vile vile na nyie wanawake,sisi wanaume twafurahi tukiona chupi ya mwanamke inaloa kabla hatujaanza mambo hii inavutia sana,pia kubadili style na mambo kama hayo,kila siku mme akuone mpya hatatoka kamwe,lakini kama atakuwa anakuja anakuta unanuka maziwa au hujaoga au chupi ya jana unayo mpaka leo au chini panatema unategemea nini?wewe mwenyewe ulipokuwa unatoka kukutana na jamaa wa nje nategemea ulikuwa unaenda ki vingine ili kuwavuta jamaa,basi mfanyie mmeo hivyo hivyo,ndo maana wanaume wanasema k*** ya nje tamu
 
Endelea kupuchuka... its self satisfying. Ila nenda katubu dhambi zako
 
Pamoja na ushauri mzuri wa Michelle, pia nawe usikae kizembe. Mpende mume wako, zungumza naye kwa heshima mwonyeshe kumthamini nakumhitaji. Sala na kazi.
 
Mimi nilitokea kwenye ile ya shukrani vp hukuniona? BTW enjoy your life dada yangu i was happy to read that post kwamba mambo yako ok. 1 love
 
endelea tu na wanje hadi mume wako ajue.akipata wivu jogoo wake atawika hata kwako.tetea vizuri lakini.....badilisha na style zako.zile za zamani zinachefua mno.
 
Mimi nilitokea kwenye ile ya shukrani vp hukuniona? BTW enjoy your life dada yangu i was happy to read that post kwamba mambo yako ok. 1 love

Yaani mods wameimuvuzisha humu thread yangu nimechukia kweli sasa hata haileti maana tena watu wanacoment ile ya kwanza ya matatizo ile ya shukrani hawaioni naomba kama mods wanaona wairudishe thread yangu mbona wanakuwa hivi jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…