mume wangu jamani

Yani we umetoka nje kwanza alafu ndo utafute utatuzi wa tatizo??Kwanini hukuanza na kuomba ushauri..kujaribu kurekebisha mambo yenu na kutatua tatizo mlilokua nalo??MICHELLE UKO WAPI MAMA?Kwa style hamna kudanganyika!

Nimeshangaa sana Lizzy,kumbe kuna waliopo huko lakini sex hamna,wanajiridhisha wenyewe??
 
ameenda hadi kwao kashindwa kusema anaona aibu
 

Very true, very true very true.
Compliments for this contribution, nadhani atazingatia.
 
ahsante miss judith kwa ushauri
 
mafuruto ya dunia ni mengi na kama hayajakukuta huwezi jua inakuwaje kabisa

Ni kweli my dear,wala hauko mwenyewe,sisi wote ni binadamu na hukosea na tumepungukiwa utukufu wa Mungu,ila uwe unatafuta suluhisho la kudumu,si starehe za haraka haraka na za muda mfupi,look for sustainable solutions,nje ya ndoa unapoteza amani,kujiamini na kukosa thamani binafsi na mapepo pia waweza kusanya huko,na pengine huyo mfanyakazi mwenzio nae alikuwa ameoa.......ni tatizo juu ya tatizo....

Tuna mama zetu wamepita huko huko,lakini hawakuwa na maamuzi mepesi na marahisi na ndo maana wanatushauri,ukisikia mama anakuambia mwanangu ukavumilie,ndo wanajua kuna matatizo kama haya ya mumeo,wanashirikiana na waume zao na kumlilia Mungu hadi yanaisha na ndoa zinadumu,zinakuwa za furaha.....
 

hapo red hapo. :majani7::majani7::majani7:
 
ameenda hadi kwao kashindwa kusema anaona aibu

Mwanaume lazima aone aibu,si jambo jepesi hili......anaumia kwenye nafsi yake,msaidie kwa kumpa moyo na sala,yote yatakuwa sawa!!!
 
nimesali sana sister yaani mpaka yamenifika shingoni
sema labdaniendelee tu nikubali matokeo na kuamini matatizo yataisha hata kama hayataisha milele
 
sorry kama nimewachefua kwa kifupi duniani mambo kama hayo ni mengi na kama hukupata ushauri kipindi hicho ungesikia mengi zaidi ya hayo.wengi wapo humu ila kusema hawawezi

Hujachefua mtu,labda wameshtuka tu,we wasome,chagua likufaalo,songa mbele!!!
 
yupo na hajaoa mkewe atakuwa na kazi ya ziada
 
Mbona hii story haijakaa sawa ? Hawezi ku make luv, then ukaanza umalaya halafu unasema huyo mwanafunzi sijui work mate hajui mapenzi na hafiki hata nusu ya mmeo... ???

isome fresh
 
usishangae michelle ingieni huko mtaona mengi zaidi ya haya ya kwangu usione watu humu wanatoa coment za kujifanya wasafi wana mambo mazito nyumbani kwao tukikaa wanawake kumi tulioolewa na kila mtu akasema lake unaweza kimbia nyumbani na kuona afadhali haya yangu madogo.
 
ahsante sana nitauzingatia huo sana na mingine yenye busara
Huu ni moja ya ushauri wa busara kabisa kuwahi kukutana nazo, sina cha kuongeza dada zingatia huu :A S 39:
 
Yani we umetoka nje kwanza alafu ndo utafute utatuzi wa tatizo??Kwanini hukuanza na kuomba ushauri..kujaribu kurekebisha mambo yenu na kutatua tatizo mlilokua nalo??MICHELLE UKO WAPI MAMA?Kwa style hamna kudanganyika!

jaman msimsute tena
ashagundua km amekosea na ANAOMBA MSAADA ..ingekuwa vyema km mngemsaidia mawazo sasa,,,,
watu wanakosea meng lakin mtu akijirud anaitaj maelekezo na si kumsimanga aliyofanya mwaka juzi...
NAOMBEN TUMSHAuri na tusiesabu kafanya makosa mangapi since ameadmit km alikosea.
 
nimesali sana sister yaani mpaka yamenifika shingoni
sema labdaniendelee tu nikubali matokeo na kuamini matatizo yataisha hata kama hayataisha milele

are u sure hakuna kitu kinaathiri saikolojia ya mume wako? ongea nae kama mume wako inawezekana kuna kitu kinam turn off wakati mnapokabiliana kwa sex. kabla kufikiria kulogwa jaribu kuangalia mazingira mnayoishi kwanza. kuna external na internal factors nyingi ambazo zinaweza kum turn off mwanaume during sex especially mwanaume kama sio wild on bed, na once damage done its hard to recover.

somo litaendelea.
 
nimesali sana sister yaani mpaka yamenifika shingoni
sema labdaniendelee tu nikubali matokeo na kuamini matatizo yataisha hata kama hayataisha milele

Tena wakati umekata tamaa ndo Mungu yuko karibu kukujibu,Hold on Gaga,keep going!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…