Ni kweli my dear,wala hauko mwenyewe,sisi wote ni binadamu na hukosea na tumepungukiwa utukufu wa Mungu,ila uwe unatafuta suluhisho la kudumu,si starehe za haraka haraka na za muda mfupi,look for sustainable solutions,nje ya ndoa unapoteza amani,kujiamini na kukosa thamani binafsi na mapepo pia waweza kusanya huko,na pengine huyo mfanyakazi mwenzio nae alikuwa ameoa.......ni tatizo juu ya tatizo....
Tuna mama zetu wamepita huko huko,lakini hawakuwa na maamuzi mepesi na marahisi na ndo maana wanatushauri,ukisikia mama anakuambia mwanangu ukavumilie,ndo wanajua kuna matatizo kama haya ya mumeo,wanashirikiana na waume zao na kumlilia Mungu hadi yanaisha na ndoa zinadumu,zinakuwa za furaha.....