Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Afu wewe...........ngoja nikutafutie anayewika ka jogoo.
:busu:busu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu wewe...........ngoja nikutafutie anayewika ka jogoo.
Michelle hebu japo geukia upande huu unitazame basi huoni kuwa nimekuwa mtakatifu toka nilivyoadhimisha siku yangu ya kuzaliwa?
Michelle mpendwa nimekukubali sana hakika wewe ni GREAT THINKER wa ukweli. Ushauri wako ni touchable una hofu ya Mungu UBARIKIWE .
JAmani mie nafikiri kati ya watu waliomwelewa vema huyu dada ni Rose1980............... katoka nje ndio but amekiri kabisa kuwa alikosa ndo akaamua kutulia ni reaction ya kawaida kabisa......Binadamu tuna reactions za aina mbili irrational na rational na kawaida irrational decisions huwa ndizo zinazoanza kabla mtu hajawa rational. Hebu nambieni wanaume wangapi ambao akipata tatizo la kutosimamisha kwa mkewe atakimbilia moja kwa moja kanisani?? Kama hatajaribu nje ili aone tatizo ni lake au mkewe?? NAye ni binadamu pia na ana mahitaji yake na hisia kitu cha msingi ni kuwa alijaribu akagundua si suluhisho ndo kaja omba ushauri msimuhukumu.
Lady Gaga, pole kwa tatizo lako, muombe sana MUNGU ni wazi huyo mumeo kama hana tatizo lolote na wewe ambalo linamsumbua akili basi moja ya hao mistress wake atakuwa amemfanyia mbwembwe but kumbuka kwa MUNGU hakishindwi kitu sali sana but pia mshirikishe mumeo, mwulize maisha hayo hadi lini akumbuke nawe ni binadamu ambaye unastahili haki ya ndoa na kama hakutimizii anategemea nini??...........mpe options, kwenda hospital au kupiga goti na kusali sana na pia hao hiyo mipango ya nje aachane nayo kwa sababu the more you pray the more the devil anachochea mambo yake so mkisali nyumbani kisha mzee akatoka na kwenda kwa hao mahawara mtakuwa mwatwanga maji kwenye kinu.
Usijisikie vibaya, reaction yako ni ya kawaida kabisa na uzuri umegundua makosa na kujirekebisha.
Huyo anayelia kama mbuzi hahahahahahah!
1. Hatua ya kwanza ni kutubu,Mungu akusamehe,umekosea sana,hushindani na ibilisi ndani ya mumeo kwa kumuunga mkono ibilisi kwa mwanaume mwingine.Si suluhisho,na nakuambia huko ulikoenda ndo umeenda kutafuta shida.
2.Hako katabia ka kujiridhisha mwenyewe kaache,huwezi jua unashughulikiwa na majini mahaba,nenda kanisani usikie shuhuda za watu,wanaondo uhusiano wowote na mwanaume mwingine kwa mambo kama hayo,mwanaume hawezi fanya mapenzi.Mungu aliyewaunganisha anajua kwanini alituweka tofauti na akaweka ilo tendo la ndoa.
3.Usiende kwa mganga nakusihi tena sana,piga magoti muombe Mungu,unaenda chukua pepo lingine huko,Mungu ni zaidi ya yote,sali sana na uwe na subira atakujibu,nenda kwenye maombi/dua za pamoja na wenzio,usiruke kwa mganga.
4.Kaa mbali na marafiki wabaya wakati huu ukiwa na matatizo,zungumza na Mungu,mumeo,mama au hata dada......usitii ushauri wa kwenda kwa mganga hata kama unatoka kwa mama yako,huyo hawara kama unahisi alikulogea kwa mganga,we unaenda fanya nini?gharama za bure,yupo Mungu.
Big up Michelle kwa ushauri mzuri. Yaani huyu dada kama kweli anampenda huyo mume wake...basi huu ushauri unamtosha kabisa!!!
Swali kwa wanaJF: Hivi mtu anapoleta shida yake hapa...hasa inapomhusu partner wake, ni kwamba huyo partner wake yeye huwa hatembelei maeneo haya ya JF??? Maana jinsi wanavyo elezea the whole situation, mbona inakuwa rahisi kwa partner kujua kwamba hii inafanana na ya nyumbani kwake?? Inakuwaje hapo akingundua kuwa umekuja kuelezea tatizo lake hapa Jamvini??!!
Thanks Keren,kuhusu kuleta mambo yahusuyo partner huku,nafikiri watu hadi wanayaleta kweli wanakuwa wamelemewa,yataka moyo kueleza ukweli wote huu,ila sidhani kama ameshamuambia mumewe kuhusu cheating au huo mpango wa kwenda kwa mganga,so kidogo itamuwia ngumu mumewe kuelewa,kuna namna nafikiri wanaweka mambo ili mhusika asielewe ni yeye labda ahisi tu.....mtizamo,ngoja tusikie wengine!!!
Asante Michelle; ni kweli inawezekana wamekuwa wamezidiwa! Kama ulivyomshauri...ni kumuomba Mungu tu, hakuna lisilowezekana kwa Mungu!, yote yawezekana kwake aaminiye! asikate tamaa!
Barikiwa Michelle.
mimi nimeolewa miaka mingi iliyopita nimeishi kwa amani na upendo na mume wangu,pia mungu katujalia watoto na mali lukuki, kwa kifupi sina shida.ila sasa matatizo yameingia ndani ya nyumba.
huu ni mwaka wa nne mume hawezi ku make love na mimi ila kukuta na msg za madem nakuta,moyoni najiuliza hivi hawa nao anatia nao story tu?nilivumilia sana nikaanza kutembea nje,wa kwanza mwanachuo mwenzangu yaani upuuzi mtupu mapenzi hamfikii hata robo mume wangu,wa pili mfanyakazi mwenzangu nae ndo kabisaa akicome anajipiga kichwa then analia kama mbuzi hee:frusty: mwisho nikaamua nitulie tu home.
mwaka mmoja nyuma nikabuni kamtindo ka kujiridhisha mwenyewe nikaona raha ajabu mpaka miezi minne nyuma nikambana mume akakubali NJE AKIENDA ANAPIGA MZIGO KAMA KAWA AKIJA KWANGU ANASHINDWA!!!!! jamani wana jf wenzangu nisaidieni mwanamke wake kamloga au mimi ndio nina matatizo? na kama ni mm mbona wale watu walipiga mzigo kama kawa?? na mbona akiwa anataka kufanya mapenz jogoo anawika akinigusa tu inasinyaa jamani duniani kuna mambo na mateso ya kila aina
kuna mtu kanishauri niende kwa mganga mwanamke wake wa nje kamloga.niende?kuna mtu tatizo kama hili lishampata?nifarijini na mnishauri mwenzenu nateseka sana.
Amen Keren,Barikiwa pia wewe sana na Mungu!!
AMEN. Asante Michelle. Usku mwema (kama ni usku), kama ni mchana basi kazi njema! Wengine tunajiandaa kulala!
Michelle j 2 huwa unahubiri kanisa gani ?
mimi nimeolewa miaka mingi iliyopita nimeishi kwa amani na upendo na mume wangu,pia mungu katujalia watoto na mali lukuki, kwa kifupi sina shida.ila sasa matatizo yameingia ndani ya nyumba.
huu ni mwaka wa nne mume hawezi ku make love na mimi ila kukuta na msg za madem nakuta,moyoni najiuliza hivi hawa nao anatia nao story tu?nilivumilia sana nikaanza kutembea nje,wa kwanza mwanachuo mwenzangu yaani upuuzi mtupu mapenzi hamfikii hata robo mume wangu,wa pili mfanyakazi mwenzangu nae ndo kabisaa akicome anajipiga kichwa then analia kama mbuzi hee:frusty: mwisho nikaamua nitulie tu home.
mwaka mmoja nyuma nikabuni kamtindo ka kujiridhisha mwenyewe nikaona raha ajabu mpaka miezi minne nyuma nikambana mume akakubali NJE AKIENDA ANAPIGA MZIGO KAMA KAWA AKIJA KWANGU ANASHINDWA!!!!! jamani wana jf wenzangu nisaidieni mwanamke wake kamloga au mimi ndio nina matatizo? na kama ni mm mbona wale watu walipiga mzigo kama kawa?? na mbona akiwa anataka kufanya mapenz jogoo anawika akinigusa tu inasinyaa jamani duniani kuna mambo na mateso ya kila aina
kuna mtu kanishauri niende kwa mganga mwanamke wake wa nje kamloga.niende?kuna mtu tatizo kama hili lishampata?nifarijini na mnishauri mwenzenu nateseka sana.
1. Hatua ya kwanza ni kutubu,Mungu akusamehe,umekosea sana,hushindani na ibilisi ndani ya mumeo kwa kumuunga mkono ibilisi kwa mwanaume mwingine.Si suluhisho,na nakuambia huko ulikoenda ndo umeenda kutafuta shida.
2.Hako katabia ka kujiridhisha mwenyewe kaache,huwezi jua unashughulikiwa na majini mahaba,nenda kanisani usikie shuhuda za watu,wanaondo uhusiano wowote na mwanaume mwingine kwa mambo kama hayo,mwanaume hawezi fanya mapenzi.Mungu aliyewaunganisha anajua kwanini alituweka tofauti na akaweka ilo tendo la ndoa.
3.Usiende kwa mganga nakusihi tena sana,piga magoti muombe Mungu,unaenda chukua pepo lingine huko,Mungu ni zaidi ya yote,sali sana na uwe na subira atakujibu,nenda kwenye maombi/dua za pamoja na wenzio,usiruke kwa mganga.
4.Kaa mbali na marafiki wabaya wakati huu ukiwa na matatizo,zungumza na Mungu,mumeo,mama au hata dada......usitii ushauri wa kwenda kwa mganga hata kama unatoka kwa mama yako,huyo hawara kama unahisi alikulogea kwa mganga,we unaenda fanya nini?gharama za bure,yupo Mungu.
Michelle miye siamini kabisa kama mdada akijichezea mwenyewe ili kujipa maraha basi ana jini mahaba na hata wanaume wengi tu wanajichezea. Sidhani kama hili linasababishwa na jini mahaba wala sijui kama kuna jini mahaba. Labda maelezo zaidi yatasaidia katika kuelewa.
mimi nimeolewa miaka mingi iliyopita nimeishi kwa amani na upendo na mume wangu,pia mungu katujalia watoto na mali lukuki, kwa kifupi sina shida.ila sasa matatizo yameingia ndani ya nyumba.
huu ni mwaka wa nne mume hawezi ku make love na mimi ila kukuta na msg za madem nakuta,moyoni najiuliza hivi hawa nao anatia nao story tu?nilivumilia sana nikaanza kutembea nje,wa kwanza mwanachuo mwenzangu yaani upuuzi mtupu mapenzi hamfikii hata robo mume wangu,wa pili mfanyakazi mwenzangu nae ndo kabisaa akicome anajipiga kichwa then analia kama mbuzi hee:frusty: mwisho nikaamua nitulie tu home.
mwaka mmoja nyuma nikabuni kamtindo ka kujiridhisha mwenyewe nikaona raha ajabu mpaka miezi minne nyuma nikambana mume akakubali NJE AKIENDA ANAPIGA MZIGO KAMA KAWA AKIJA KWANGU ANASHINDWA!!!!! jamani wana jf wenzangu nisaidieni mwanamke wake kamloga au mimi ndio nina matatizo? na kama ni mm mbona wale watu walipiga mzigo kama kawa?? na mbona akiwa anataka kufanya mapenz jogoo anawika akinigusa tu inasinyaa jamani duniani kuna mambo na mateso ya kila aina
kuna mtu kanishauri niende kwa mganga mwanamke wake wa nje kamloga.niende?kuna mtu tatizo kama hili lishampata?nifarijini na mnishauri mwenzenu nateseka sana.
1. Hatua ya kwanza ni kutubu,Mungu akusamehe,umekosea sana,hushindani na ibilisi ndani ya mumeo kwa kumuunga mkono ibilisi kwa mwanaume mwingine.Si suluhisho,na nakuambia huko ulikoenda ndo umeenda kutafuta shida.
2.Hako katabia ka kujiridhisha mwenyewe kaache,huwezi jua unashughulikiwa na majini mahaba,nenda kanisani usikie shuhuda za watu,wanaondo uhusiano wowote na mwanaume mwingine kwa mambo kama hayo,mwanaume hawezi fanya mapenzi.Mungu aliyewaunganisha anajua kwanini alituweka tofauti na akaweka ilo tendo la ndoa.
3.Usiende kwa mganga nakusihi tena sana,piga magoti muombe Mungu,unaenda chukua pepo lingine huko,Mungu ni zaidi ya yote,sali sana na uwe na subira atakujibu,nenda kwenye maombi/dua za pamoja na wenzio,usiruke kwa mganga.
4.Kaa mbali na marafiki wabaya wakati huu ukiwa na matatizo,zungumza na Mungu,mumeo,mama au hata dada......usitii ushauri wa kwenda kwa mganga hata kama unatoka kwa mama yako,huyo hawara kama unahisi alikulogea kwa mganga,we unaenda fanya nini?gharama za bure,yupo Mungu.
Pamoja na ushauri mzuri sana wa Michelle! Jaribu kufutilia sana ujue chanzo cha haya yote ni nini hasa. Hapa nakusudia kusema kuwa kuna ukweli kuwa mara nyingi tu (say 90%plus) matatizo mengi has ya kutoka nje ya ndoa huwa yanachangiwa na pande zote. Kama ni kweli kuwa ni yeye ndiye alianza kupotoka basi jicheki je kwa wakati huo alipoanza kupotoka ni nini kilikuwa hakiendi vizuri kwa upande wako? Jaribu kujichunguza sana utaona kuna kasoro ilitokea pahala iwe kwa hila za ibilisi au vinginevyo.