nimesali sana sister yaani mpaka yamenifika shingoni
sema labdaniendelee tu nikubali matokeo na kuamini matatizo yataisha hata kama hayataisha milele
Hayajakukuta! hongera
amen!!!!!!are u sure hakuna kitu kinaathiri saikolojia ya mume wako? ongea nae kama mume wako inawezekana kuna kitu kinam turn off wakati mnapokabiliana kwa sex. kabla kufikiria kulogwa jaribu kuangalia mazingira mnayoishi kwanza. kuna external na internal factors nyingi ambazo zinaweza kum turn off mwanaume during sex especially mwanaume kama sio wild on bed, na once damage done its hard to recover.
somo litaendelea.
ehh
skukuzania..
ahsante. Ila soma vizuri sredi ya huyo dada. Amesema akitaka kusex na mumewe uume unasinyaa mara ooh hao aliosex nao nje hawajui mapenzi kama mumewe. Sasa hapo ndio nini jamani!
haujambo wewe mrembo? nimekumiss kama ushindi wa dr slaa. khaaa! mpe lady gaga maushauri basi kabla wazembe wa mitaani hawajaparaganya ndoa yake takatifu.yah man..bufalooosojaaaaaaaaaaaa....!!!!
Ni kweli my dear,wala hauko mwenyewe,sisi wote ni binadamu na hukosea na tumepungukiwa utukufu wa Mungu,ila uwe unatafuta suluhisho la kudumu,si starehe za haraka haraka na za muda mfupi,look for sustainable solutions,nje ya ndoa unapoteza amani,kujiamini na kukosa thamani binafsi na mapepo pia waweza kusanya huko,na pengine huyo mfanyakazi mwenzio nae alikuwa ameoa.......ni tatizo juu ya tatizo....
Tuna mama zetu wamepita huko huko,lakini hawakuwa na maamuzi mepesi na marahisi na ndo maana wanatushauri,ukisikia mama anakuambia mwanangu ukavumilie,ndo wanajua kuna matatizo kama haya ya mumeo,wanashirikiana na waume zao na kumlilia Mungu hadi yanaisha na ndoa zinadumu,zinakuwa za furaha.....
hukunizania nini?
Soma vizuri sredi ya huyo dada utaona anavyojikoroga maelezo.
poa, nafikiri wadau washatoa maadvice ya kutosha.umeamua kuona hayo na umeyaona ayo2
soma theme yote then mshaur acha na mafagio yake ya apa na pale...
haujambo wewe mrembo? nimekumiss kama ushindi wa dr slaa. khaaa! mpe lady gaga maushauri basi kabla wazembe wa mitaani hawajaparaganya ndoa yake takatifu.
poa, nafikiri wadau washatoa maadvice ya kutosha.
usishangae michelle ingieni huko mtaona mengi zaidi ya haya ya kwangu usione watu humu wanatoa coment za kujifanya wasafi wana mambo mazito nyumbani kwao tukikaa wanawake kumi tulioolewa na kila mtu akasema lake unaweza kimbia nyumbani na kuona afadhali haya yangu madogo.
unantamanisha ujue! acha nikaazime baskeli namie nikuje huko huko.ahh mwaya apa nilipo nina araka naenda ukooooooooooo asi unaajua wknd leo sjatulia yaan uku nimeshka mafuta najipaka uku naandika jf
kesho
lakin michelle kamshaur vyema yeye tu
ahsante. Ila soma vizuri sredi ya huyo dada. Amesema akitaka kusex na mumewe uume unasinyaa mara ooh hao aliosex nao nje hawajui mapenzi kama mumewe. Sasa hapo ndio nini jamani!
Nakubali ya dunia ni mengi, ila pia umeulizwa swali la msingi: Kwa nini hukutafuta ushauri au msaada kwanza kabla ya kwenda nje ?
Unanikumbusha story moja iliwahi kuletwa na mtu humu kuwa eti ana rafiki yake, na huyo dada anadai kaolewa zaidi ya miaka 10, ana watoto 2 na hajawahi kufkishwa kule juu hata siku moja. Sasa watu wakajiuliza yaani miaka yote hiyo amekaa tuu, hajawahi kuuliza kulikoni, au hata ongea na mwenzie mpaka akaamua kuwa malaya kwa kisingizio hicho ?
rose nishamuuliza au kuhisi tu labda ni wembamba wangu au ni nini nimejaribu kila njia ambayo unahisi mwanamke yeyote angejaribu kumvutia mume huyu waapi!!kusafiri labda kwenda kwenye mahotelikulala au nini tena yeye mwenyewe kasema hana tatizo na mimi wala simwoni kama ana tatizo kwenye shughuli zake kila siku ananisimulia mafanikio anayoyapata.kusema ana tatizo linamsumbua kwa sasa hana!amen!!!!!!
Michele kasema kila kitu. Kwa nongeza nadhani mmechokana.kurudisha penzi upya jaribu kukumbushana wkt mnachumbiana,tembeleeni wiwanja mlivokuwa mnaenda, ombeni likizo msafiri nje ya mji mnaoishi kaeni kama wiki mkiwa pamojanadhani penzi litarudi na mda huo simu au email isiwepo i mean msiwe na mawasiliano yoyote hadi wikki ikatike kama vile mko honeymoon.