mume wangu jamani

Michelle mpendwa nimekukubali sana hakika wewe ni GREAT THINKER wa ukweli. Ushauri wako ni touchable una hofu ya Mungu UBARIKIWE .
 
Michelle hebu japo geukia upande huu unitazame basi huoni kuwa nimekuwa mtakatifu toka nilivyoadhimisha siku yangu ya kuzaliwa?

Nimekuona na nimeshtuka sana,nikasema ngoja tusubiri na wengine tuanzishe li-thread la pongezi tu.....na umekuja kitakatifu kweli,kuna advise umetoa sehemu nikasema hiyo ST ina maana.....Hongera sana PM wangu,sasa huu utakatifu ndo ule wa kuwa kama mtawa???
Manake hapo tutakuwa tunaumizana,na kurudishana nyuma as nilikuwa nimekuweka kwa list????
 
Michelle mpendwa nimekukubali sana hakika wewe ni GREAT THINKER wa ukweli. Ushauri wako ni touchable una hofu ya Mungu UBARIKIWE .

AMEN,Chetuntu,we all go through hell,but always we come out better and stronger if we lean on GOD! Be blessed too!!
 
umeona eeee mwanajamii! lol duniani kuna mambo na nilikuwa sijayaona cause jamaa ni wa kwanza na akanioa. nilivoona ya mbuzi nilitoka mita mhh! thanx kwa ushauri
 

Big up Michelle kwa ushauri mzuri. Yaani huyu dada kama kweli anampenda huyo mume wake...basi huu ushauri unamtosha kabisa!!!

Swali kwa wanaJF: Hivi mtu anapoleta shida yake hapa...hasa inapomhusu partner wake, ni kwamba huyo partner wake yeye huwa hatembelei maeneo haya ya JF??? Maana jinsi wanavyo elezea the whole situation, mbona inakuwa rahisi kwa partner kujua kwamba hii inafanana na ya nyumbani kwake?? Inakuwaje hapo akingundua kuwa umekuja kuelezea tatizo lake hapa Jamvini??!!
 

Thanks Keren,kuhusu kuleta mambo yahusuyo partner huku,nafikiri watu hadi wanayaleta kweli wanakuwa wamelemewa,yataka moyo kueleza ukweli wote huu,ila sidhani kama ameshamuambia mumewe kuhusu cheating au huo mpango wa kwenda kwa mganga,so kidogo itamuwia ngumu mumewe kuelewa,kuna namna nafikiri wanaweka mambo ili mhusika asielewe ni yeye labda ahisi tu.....mtizamo,ngoja tusikie wengine!!!
 

Asante Michelle; ni kweli inawezekana wamekuwa wamezidiwa! Kama ulivyomshauri...ni kumuomba Mungu tu, hakuna lisilowezekana kwa Mungu!, yote yawezekana kwake aaminiye! asikate tamaa!
Barikiwa Michelle.
 
Asante Michelle; ni kweli inawezekana wamekuwa wamezidiwa! Kama ulivyomshauri...ni kumuomba Mungu tu, hakuna lisilowezekana kwa Mungu!, yote yawezekana kwake aaminiye! asikate tamaa!
Barikiwa Michelle.

Amen Keren,Barikiwa pia wewe sana na Mungu!!
 

Angaika dada yangu, ndio pata ushauri mbalimbali kisha kaa chini ufanye unalofikiria litakusaidia....uswahili nao upo...
 


Pole sana kwa matatizo haya.

YouTube - western jazz band - rosa
 

Michelle miye siamini kabisa kama mdada akijichezea mwenyewe ili kujipa maraha basi ana jini mahaba na hata wanaume wengi tu wanajichezea. Sidhani kama hili linasababishwa na jini mahaba wala sijui kama kuna jini mahaba. Labda maelezo zaidi yatasaidia katika kuelewa.
 

Hellow BAK, nimemwandikia huwezi jua labda una jini mahaba,sina uhakika kama analo,ila najua majini mahaba yapo na yanafanya kazi,kuna wamama/wadada kabisa anakuja kanisani mumewe hataki kabisa kushiriki tendo la ndoa na yeye,anaombewa na akienda na mambo yanabadilika.yapo na yanafanya kazi yake vizuri tu.Hilo la kujiridhisha na ukaridhika sana hivyo,sijui mimi anajishughulikiaje mwenyewe mwanamke,najua wanaume hufanya,ila kwa mwanamke tena kwenye ndoa,kuna tatizo BAK,kwa source yeyote ya tatizo lake,autafute uso wa Mungu,huko atapata amani na nguvu ya kundelea kuishi na mumewe katika kipindi hiki cha mpito,najua atashinda,ameshajua ana tatizo,ameshuriwa na watu wengi hapa vizuri na yaelekea ni msikivu,the rest its up to her.......
 

NA ALAANIWE AMTEGEMEAE MWANADAMU. Mbna tatzo lako ni dogo ila c kwenda kwa mganga who z 'which doc' watch out mate!
 

Pamoja na ushauri mzuri sana wa Michelle! Jaribu kufutilia sana ujue chanzo cha haya yote ni nini hasa. Hapa nakusudia kusema kuwa kuna ukweli kuwa mara nyingi tu (say 90%plus) matatizo mengi has ya kutoka nje ya ndoa huwa yanachangiwa na pande zote. Kama ni kweli kuwa ni yeye ndiye alianza kupotoka basi jicheki je kwa wakati huo alipoanza kupotoka ni nini kilikuwa hakiendi vizuri kwa upande wako? Jaribu kujichunguza sana utaona kuna kasoro ilitokea pahala iwe kwa hila za ibilisi au vinginevyo.
 


Nakubaliana na wewe 100% MO_TOWN.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…