mume wangu jamani

Unaonaje ukifuata ushauri wa Michelle?? nadhani amejitahi kwa kadiri ya uwezo aliopewa na Mungu kukusaidia. Hata ukienda kanisani utapewa ushauri huo, na ukiufuata mume ataludi na kwa hakika utafaidi ndoa yako.
 
Mbona hii story haijakaa sawa ? Hawezi ku make luv, then ukaanza umalaya halafu unasema huyo mwanafunzi sijui work mate hajui mapenzi na hafiki hata nusu ya mmeo... ???

Yeye amekuja kuomba ushauri, kama unao mpe, kama huna kuwa msomaji kama mimi.
Kwani angeamua kuficha hicho kipengele cha kutoka nje ya ndoa, we ungejuaje? msaidie kwanza halafu baadae ndo um-pin down...kha!!
 
mo-town tatizo lilianza kwake kama kawaida ya wenzetu kipindi cha ujauzito hii wanafanya wanaume wengi tu! swalakwa nn haisimami kwangu tu?nje kama kawaida.tumeona wanaume wangapi wana wake hata wanne lakini kila mmoja anaridhishwa kwa wakati wake inabaki tatizo la wivu tu!
mimi natamani turudishe uhusiano wa ndoa yaani tendo lenyewe mengine yatajiseti tu na imani hivyo na kama ushauri wa kusali pia nimeanza rasmi leo
 
Hizi hadithi za kufikirika jamani zipunguzwe.
 

Michelle vipi mambo? Weekend vipi? Miye siamini kama kuna jini mahaba ambaye anawafanya akina dada kujichezea wenyewe. Hata wataalamu wa kitendo cha kujamiiana wanashauri akina dada wajichezee wenyewe ili kujua miili yao wapi wakiguswa wanaenjoy sana na hivyo kuwasaidia wapenzi wao kwa kuwaambia niguse hapa au niguse pale au nifanyie hiki naenjoy zaidi. Hivyo njemba ikishajua zile sehemu muhimu ambazo mwenzake anasikia raha ya hali ya juu anakuwa hahitaji direction toka kwa mwenzie. Pia kuna wana ndoa ambao mke hujichezea mbele ya mume na ni BIG TURN ON kwa wote na waume wengine ambao labda husafiri kwa muda mrefu kikazi au kimasomo hawaoni soni kuwaambia wenzao wajichezee wenyewe kama wakizidiwa hasa pale mambo yao ya chumbani yako very healthy labda wanananihii mara nne kwa wiki au hata zaidi, na wengi hawaoni kama ni tatizo hata kidogo. Unajua siku hizi ni tofauti na ile ya miaka ya 47 ambapo kitendo hiki kilikuwa kinaonekana ni dhambi kubwa sana.
 
pakawa ishi maisha marefu,olewa na uzae watoto kaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi then ndio utajua kama hiki ni kisa cha kufikirika au ni ukweli. Na hapo nimefupisha sijakupa upande wa pili.yaani yule dem a hubby anavyonipa madongo.labda huko mbele utajua
Hizi hadithi za kufikirika jamani zipunguzwe.
 
I know the feeling Gaga b'se I've been there. Muombe sana Mungu yataisha tu. You have my sympathy
 
Utajiri wenu ni wa kawaida...yaani kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kutumainia baraka za Maanani au ni ule wa kuzika viungo vya wenzetu? Hainipi akilini kabisa mtu awe ok na nyumba ndogo kuliko nyumba yake. Halafu mcheza kwao hutunzwa hiyo inaeleweka. Mechi ya guest house mechi gani hiyo!!
 

Likikufika hata wewe, hutajua umelifikishaje hapa, matatizo hayana mwenyewe na katika kutafuta ufumbuzi unawezafika sehem ambayo hukutegemea. Bora huyu kalileta hapa kuliko angeenda kwa mganga.
 
Mpake ndimu na pilipili anaponyea...:flame:
 
Kwanza kabisa Gaga, nikipenda kukupongeza kwa kuwa mkweli na fuata maelekezo ya michelle....! Pole sana, ndio maisha ya kimapenzi ila na mme wako aache ujinga maana....watoto wa nje au STD ndizo zitafuata!!!

siku hizi zimelaaniwa sana...yani mke ni wa wote na mme ni wa kila mtu!! Balaa!!! Hakuna tena heshima!!:shock:
 
mke ni kama nyama ya tembo hata ule vipi peke yako hautoimaliza....
mume nae ni kama kitanda cha hospital,akitoka huyu anaingia yule...
 
mie nina ushauri tofauti kidogo na watu wengine

Ki-ukweli na kisayansi kabisa unapofanya kitu cha aina moja kwa kukirudia muda mrefu uwa kinachosha hii ni kwa kazi, chakula, mapenzi, tendo la ndoa n.k, pia ni wengi tu (w/ume) uwa wanashindwa kufanya mapenzi ipasavyo na wake zao kutokana na mazoea na kuchokana (kitendo la ndoa) hivyo uishia kupiga bao moja tu au kutosimamisha kabisa ilhali wakitoka nje ya ndoa wanapiga hata bao 3 au zaidi kwa usiku mmoja.

Cha kufanya ni kujenga mazingira (ya kisaikolojia) ambayo yatamfanya huyo m/ume apate mvuto kwa mkewe kawa kufanya vitu ambavyo vitaamsha amasa na hamu ya tendo la ndoa kama:

1. kusafiri mbali na kumpigia simu za kimahaba

2. kumvalia mavazi ambayo yatamfanya kutokwa na udenda juu ya ngono

3. Kumchezea (love play) kabla hamjaenda kitandani (hii ina maana unamjengea hisia kabla hata ya muda wa tendo)

4. Jaribu kufanya mapenzi nje ya mazingira mliyozoea kufanyia kila wakati kama hotelini, jikoni, bafuni n.k

5. Ondoeni tofauti mlizonazo ambazo zinaleta ugomvi, chuki na hasira

6. Ongeeni lugha nzuri yenye hisia ya kimapenzi baina yenu

7. Jengeni utamaduni wa kwenda kwenye nyumba za ibada pamoja

mnataka kwenda kwa mganga wa jadi bure wakati wachawi ni nyinyi wenyewe
 

Ushauri wa haraka: Isikie sauti ya Mtu Aliaye Jangwani, TUBUNI NA KUIAMINI INJILI. Shika amri za Mungu kwanza. Kwa nini uzini kwanza ndipo uje kuomba ushauri JF? Omba ushauri mwa wa tatizo na si katikati yake.

Ushauri zaidi: Maelezo yako ni mafupi mno kiasi cha kumuwezesha mtu kukushauri. Inatakiwa na mme wako naye asikilizwe ili kujua tatizo liko wapi. Mara nyingi, upande mmoja haufai kusikilizwa kama unataka kuamua shauri.
 
kweli kabisa
 
kashaiabutege! asingesema alizini ungejuaje?? dada wa watu kaamua kuwa mkweli inatakiwa tumshauri kutokana na aliyotueleza. sidhani kama hata kanisani mtu akienda kutubu mchungaji anamwambia kwa nini hakwenda kabla hajafanya yale madhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…