mume wangu jamani

Anauliza ili akimtolea nje amuulize mbona ulitaka mwenyewe!

Kwa hiyo anataka kuplay safe sio. inapendeza pia akirisk inaonesha ushupavu wake
 
Mi hata sijui kinachoendelea hapa.

Ngoja nisepe niwaache mkidiskasi.
 
Hongera sana gaga jipongeze kwa hilo imebidi nifukunyue ili nijue yalokupata, hata mbuzi chinja nyumbani,katoe sadaka kanisani kwani hayo yote ni neema ya mungu imekudondokea,wengi wameikosa na bado wanaitafuta. kwa hiyo sasa burudani kama kaaida, sipati picha nikikosa miezi sita tu naandamana
 
Sikubahatika kusoma hiyo thread ya MUME WANGU JAMANI - 1; naweza kupata link yake. Nimejaribu ku-such hapa lakini sijafanikiwa.
 
Sikubahatika kusoma hiyo thread ya MUME WANGU JAMANI - 1; naweza kupata link yake. Nimejaribu ku-such hapa lakini sijafanikiwa.

Mwenye kuweza kumwekea link amuwekee mgombezi kwa faida ya wengi mie siwezi namna
 

Utafikiri ulikuwa kichwani kwngu shukrani muhimu, ndio sasa hivi burudani kwa kwenda mbele shantel, ahsante sana
 
Japo sikuisoma,namshukuru Mungu sana kwa ajili ya alichokifanya kwako,aendelee kukuzidishia sawasawa na haja za moyo wako na Sifa na Utukufu virudi kwake, Amen
 

ahsante sana kwa ushauri nashukuru mungu kasikia maombi yenu na yangu wote mungu ni mkubwa tusikate tamaa
 
Haya nimeingia humu makusudi ili hii thread wanaoitafuta waisome ili waelewe nilikopitia
 
Hapo kwenye red kivipi ?
 
Mbona hii story haijakaa sawa ? Hawezi ku make luv, then ukaanza umalaya halafu unasema huyo mwanafunzi sijui work mate hajui mapenzi na hafiki hata nusu ya mmeo... ???

Amesema hafikii hata robo ya mumewe! Sasa kama mumewe akimgusa tu hisia zinapotea na uume unasinyaa, hiyo robo yake ndio ikoje? Ni kweli hii story haijakaa sawa. Kama anahitaji msaada kweli hapa kwenye forum (na ninaamini wapo watu ambao ni professional na pia wapo wenye uzoefu hapa wanaweza kumsaidia), basi hana budi kuiweka story yake vizuri ili ieleweke.
 
Tunashukuru dada kwakutuletea feedback. Nasi tupo pamoja katika kumrudishia Mungu utukufu. Ila ningependa kutoa ushauri kuwa tunapoandika jina la Mungu au Yesu basi tutumie herufi kubwa maana haya ni majina na pili ni majina yenye nguvu tofauti kabisa na majina yetu ya kawaida. Kwaweli mtu akitumia herufi ndogo kwenye kutaja Mungu, Yesu Roho Mtakatifu huwa najisikia vibaya nakuona kama tunayashushia hadhi. Mbona majina yetu tunatumia capital letters? Ubarikiwe dada.
 
mmh!pole Gaga umepitia thru hell.

Michelle,napenda ushauri wako,umesimama,napenda kukusoma.Uwepo wako JF ndiyo furaha yangu.:mwaaah:
 
haya mama ushauri...nakuaminia.senksi yangu iko hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…