Source: http://mapenzibongo.blogspot.com/
Msaada kwenye tuta Mapenzibongo, Mimi nipo na mume wangu huu ni mwaka wa tatu saivi na tumebarikiwa kupata watoto wawili. Jana mume wangu amepata kadi ya Valentine kutoka kwa mwanamke ambaye simfahamu. Alikuja nayo mpaka nyumbani hajaifungua, na kwa bahati mbaya au nzuri mi nkaifungua na likuwa imeandikwa hivi, "Love is not finding someone to live with, It's finding someone you can't live without, wako D", kwa kweli hii imeniuma sana. Nikamuuliza hii inakuaje, akanijia juu nakunijibu ni mfanyakazi mwenzie wa ofisini wanafanya nae kazi na amempa kila mtu ofisini kwao. Hapa nilipo niko na dilema
pole sana,jiandae kuwa mke mwenza.Ndo maana mimi mwenzio sifagilii siku hii hat kidogo.
Wewe nenda naye ofisini kesho ukamuone huyo mwanamama akueleze vizuri nia hasa na sababu ya kumpa mumeo VD card yenye maneno hayo. Hili ndilo litasaidia kuondoa dukuduku ndani ya moyo wako na ikiwezekana pia umpe kibano cha nguvu tu ili aachane na tabia za kuparamia waume za watu.
...duuuh, hata nawe kaka umetegeka? hapana, nadhani unatania tu 😀
Inaonekana wengi humu wanaweza kurusha ngumi kwa ujumbe (mafumbo) kwenye khanga, ama kwa nyimbo za taarabu!
hongera kwa kurekebisha jina.
Asante!Ulinisema sana...teh teh na mimi naogopa kusemwa.sijazoea kabisa mtoto wa watu.
na wewe mshauri atumie ile AKA yake humu officially!!!!! hahaaaaaaaaaaaa
Boss umeyasikia hayo?tumia ile a.ka.yako humu ndani.
GS umeniuzia kesi sio haya.....................
***mama tulia, nenda posta kachongeshe hii kadi...
'love is NOT all about falling in love but rising everytime you fall, I will always be yours forever' I love you my sweet husband'
Kisha utakapo lala iweke katika meza anayoweka ufunguo wa gari lake, au iweke katika dash board ya gari yake, au iweke katika meza/kioo ya/cha kuvalia.
Usimwambie kitu mpaka akuulize!
That's a very nice 'revenge'
Haya ndo maneno bana! diplomat in the making
Boss umeyasikia hayo?tumia ile a.ka.yako humu ndani.
hiyo aka hainifai
hiyo aka ni kwa wanaodanganya wanafunzi...
mimi na deal na watu wazima.
.....sio kila mtu ana gari!***mama tulia, nenda posta kachongeshe hii kadi...
'love is NOT all about falling in love but rising everytime you fall, I will always be yours forever' I love you my sweet husband'
Kisha utakapo lala iweke katika meza anayoweka ufunguo wa gari lake, au iweke katika dash board ya gari yake, au iweke katika meza/kioo ya/cha kuvalia.
Usimwambie kitu mpaka akuulize!
That's a very nice 'revenge'
Kwani vipi ameanza kukusumbua?niambie nianze kupambana naye sa hivi..hatuwezi huyu.
hiyo aka hainifai
hiyo aka ni kwa wanaodanganya wanafunzi...
mimi na deal na watu wazima.
hiyo aka hainifai
hiyo aka ni kwa wanaodanganya wanafunzi...
mimi na deal na watu wazima.