Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
hahaaaaaaaaaaa
eti ungeshaaaaaaaa (ya kunyumba hiyo )
haaa napata hisia mpakanakumbuka kunyumba mpora...mweh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaaaaaaaa
eti ungeshaaaaaaaa (ya kunyumba hiyo )
haaa napata hisia mpakanakumbuka kunyumba mpora...mweh.
Haya mambo ya kuiga bila kujua maana yake, matokeo yake ndio kama haya, mala nyingi huwa nafanya kazi za u-MC, ikifika zamu ya kutoa zawadi huwa nakataza watu kuwakumbatia maharusi, ispokuwa wazazi tu. wengine huwa hawanielewi, lakini ukiwauliza maana ya kukumbatiana jinsia tofauti na wakati sio wapenzi na ni adhalani hawakupi majibu, HACHENI HIZO.
hiyo aka hainifai
hiyo aka ni kwa wanaodanganya wanafunzi...
mimi na deal na watu wazima.
Boss umeoa?
Ni kweli inachekesha na pia inaudhi, wengine tunaonaje, we fikiria upo pale na mkeo linakuja lijamaa linamkumbatia tena kwa dakika kadhaa mpaka wengine wanamsubili yeye atoke na wengine waje kumkumbatia huyo mkeo, ukizingatia kuwa kumtoa huwezi kumkataza pia unashindwa, utajisikiaje????!!!we kaitaba,nimechekampaka bac, sio kumbatia tena wengine kama wanakaba vile...kajisemea Fidel mambo ya isidingo.
hivi huyu mwanaume naona akili yake hamnazo kadi ya mapenzi ..harafu anaenda nayo home
Jibu -wanafanya nae kazi lol
Iko kazi ...Mama pole unaibiwa
oh pole sana!but don't punic fanya uchunguzi wa kina kwa wafanyakazi wenzake inawezekana anayosema ni ya kweli!source: http://mapenzibongo.blogspot.com/
msaada kwenye tuta mapenzibongo, mimi nipo na mume wangu huu ni mwaka wa tatu saivi na tumebarikiwa kupata watoto wawili. Jana mume wangu amepata kadi ya valentine kutoka kwa mwanamke ambaye simfahamu. Alikuja nayo mpaka nyumbani hajaifungua, na kwa bahati mbaya au nzuri mi nkaifungua na likuwa imeandikwa hivi, "love is not finding someone to live with, it's finding someone you can't live without, wako d", kwa kweli hii imeniuma sana. Nikamuuliza hii inakuaje, akanijia juu nakunijibu ni mfanyakazi mwenzie wa ofisini wanafanya nae kazi na amempa kila mtu ofisini kwao. Hapa nilipo niko na dilema
Napenda sana vita vya kimyakimya (maumivu bila chuki)<font color="Red">'love is NOT all about falling in love but rising everytime you fall, I will always be yours forever' I love you my sweet husband'
oh pole sana!but don't punic fanya uchunguzi wa kina kwa wafanyakazi wenzake inawezekana anayosema ni ya kweli!
...pessimists bana,
wao kila jambo 'kwanini?!'...
Badala ya kusoma na kuuchanganua ujumbe mzima mumewe asivyoweza ishi bila yeye, kakimbilia kusoma na kupigia msitari; "yours D"
Sasa na nyie mnazidi kupigilia misumari hapa, barua zenu ngapi zinaishia na "yours..." au kuanza na "Dear..." ? 🙂