Mume wangu katumiwa Valentines card na mwanamke mwingine

Mume wangu katumiwa Valentines card na mwanamke mwingine

***mama tulia, nenda posta kachongeshe hii kadi...

'love is NOT all about falling in love but rising everytime you fall, I will always be yours forever' I love you my sweet husband'

Kisha utakapo lala iweke katika meza anayoweka ufunguo wa gari lake, au iweke katika dash board ya gari yake, au iweke katika meza/kioo ya/cha kuvalia.

Usimwambie kitu mpaka akuulize!

That's a very nice 'revenge'

What makes you think the guy owns a vehicle in the first place?
 
Mama ach tafsiri za zinaa, hii kimsingi si sikukuu ya wanzinzi shida wameigeuza maana. Inawezekama ni urafiki tu wa kawaida, hata mama yake aweza kumtumia kadi na hii inakuwa safi. Kama wanadalili ya kufanya mapenzi hapo mama andamana vinginevyo mali yako yachukuliwa kweupeeee....!
 
Wewe nenda naye ofisini kesho ukamuone huyo mwanamama akueleze vizuri nia hasa na sababu ya kumpa mumeo VD card yenye maneno hayo. Hili ndilo litasaidia kuondoa dukuduku ndani ya moyo wako na ikiwezekana pia umpe kibano cha nguvu tu ili aachane na tabia za kuparamia waume za watu.

BAK, u might be right, lakini kumbuka kwamba hamjui huyu D, labda ni mara 3 ya size yake... hicho kibano ataweza kukitoa kweli?? Halafu watu wengine wamekaa ki-vurugu zaidi, unaweza kwenda kutafuta ukweli ukaishia kupewa ukweli wa kikweli kweli, and she can't handle the truth... Bora nusu shari...
 
hivi huyu mwanaume naona akili yake hamnazo kadi ya mapenzi ..harafu anaenda nayo home
Jibu -wanafanya nae kazi lol
Iko kazi ...Mama pole unaibiwa

Nadhani huyu jamaa hakuwa na nia mbaya kabisa,first hakuifungua it means he trusts his wife...Pili yeye (mkewe) kampokea na kumpa na kuifungua that means love is to trust..
Je angeisoma na kuitupilia mbali hapo si ndo jamaa angekuwa hamnazo jamani?
Mi naona jamaa yuko mkweli kwa mkewe na trustfull wa nguvu tuuuu
 
Hizi mada zingine, bora nirudi kule kwa wafia nchi! Too fictious!!
 
wafanye lakini wacpitilize kikomo, ningeanza na huyo aliekuja mpaka kwangu ningemalizia na mtuhumiwa no moja, dharau nyingine hazivumiliki kabisa....mfanyakazi mwenzie wacpeane huko huko job na aiachie huko huko aje mpaka home? kuna watu huwa wana mic sana kasheshe sasa wanalitafuta kwa nguvu, napambania hiyo dharau tu.
 
Laaziz nakufahamu ndio maana mimi huwa sikufanyiii hivyo....The only thing I do is buy you fresh roses everytime I feel like to...Siyo lazima iwe siku ya Valentine! 🙂
 
Laaziz nakufahamu ndio maana mimi huwa sikufanyiii hivyo....The only thing I do is buy you fresh roses everytime I feel like to...Siyo lazima iwe siku ya Valentine! 🙂

mapenzi ya mcmu yanaleta pressure mweh, lakini ningehakikisha naharibu...laazizi endelea kunifahamu hivyo hivyo ucnijaribu kabisa.
 
mapenzi ya mcmu yanaleta pressure mweh, lakini ningehakikisha naharibu...laazizi endelea kunifahamu hivyo hivyo ucnijaribu kabisa.
[/COLOR]

mamaaaaaaaaa wa mikwara!!! anakuelewa wewe ni kichwa maji hahaaaaaaaa!!

thats my Nyamayao (btw; ile aka bora umeitoa maana mbona shoga anazidi kuwa kitu chengine........ule sasa unyama)
 
mamaaaaaaaaa wa mikwara!!! anakuelewa wewe ni kichwa maji hahaaaaaaaa!!

thats my Nyamayao (btw; ile aka bora umeitoa maana mbona shoga anazidi kuwa kitu chengine........ule sasa unyama)

bila mikwara hii walaah ningeshaa...lol
 
We binti ni mchokozi, avatar yangu imefannya nini tena? Au umelizimia hilo pozi la Junior?

hahaaaa binti mie wala sina uchokozi
ni junior tu namzimikia si unajua tena!!!
 
Haya mambo ya kuiga bila kujua maana yake, matokeo yake ndio kama haya, mala nyingi huwa nafanya kazi za u-MC, ikifika zamu ya kutoa zawadi huwa nakataza watu kuwakumbatia maharusi, ispokuwa wazazi tu. wengine huwa hawanielewi, lakini ukiwauliza maana ya kukumbatiana jinsia tofauti na wakati sio wapenzi na ni adhalani hawakupi majibu, HACHENI HIZO.
 
Back
Top Bottom