Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Endelea kwani haina part II
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kulikuwa na giza totoro humo ndani? haijui hata kaharufu ka mkewe kweli hata texture asigundue? mabao yote walikuwa hawaongei hata kwa sauti za chinichini...hata migununo ya mkewe haikuwepo?
Mwanamme wa kumpa mchepuko Milion 10 kwa mwezi hapa Dar yupo wapi>?
utunzi wakumuacha msomi na taharuki
Wa ndani gubu, mazowea, dharau vinakostisha sana ndoaMsichana akiwa mtoto mkubwa kwenye Familia, ameolewa na anaishi DSM na familia yake. Kwao wamezaliwa watoto saba, kitinda mimba amemaliza form IV, majibu yalivyotoka combinations hazi kubalance. msichana alishauriana na mume juu ya kumsaidia kitinda mimba wa, mume alishauri binti aje DSM, aanze form V wakati anarudia mitihani yake.
famila ya msichana wamechanganyika na ugiriki, msichana mwenyewe ana natural beauty ya kufa mtu, sasa mdogo wake ile natural beauty na ile hali ya ukinda, wanaume wanapelekana less. Shemeji kama mwanaume, uzuri wa binti ulimchanganya sana.
Kwa msichana kuna gari ya kuwapeleka watoto shule asubuhi na kwenda kuwachukua, lakini mume wamsichana alijitolea kumpeleka binti shule asubuhi kabla hajaenda kazini, alimnunulia I-phone 5, aliambiwa kitu chochote anachotaka amwambie shemeji na sio dada yake, pesa alipewa pocket money million 1 au 2. kila mwezi lakini aliambiwa asimwambie dada. Aliomba sana vitu na mtoto alimwambia asubiri tu asiwe na shaka.
Mume alipenda kiasi alijisaha kabisa majumu yake kwa msichana kwa miezi minne hajamgusa. msichana aliumia sana, akamuita mdogo wake, waliongea madada wale wawili, binti alimwambia dada yake yote shemeji anayomfanyia shemeji yake, dada akamuuliza hizo pesa anazokupa zimefika shilingi ngapi, kuhesabu binti alikua na Milioni 10.Dada akamwambia safari yako ya elimu ni ndefu, hizo pesa zihifadhi benki, na leo mpe habari shemeji yako kua umekubali kulala nae aje chumbani kwako watu wote wakiwa wamelala. Dada alitoa pair ya khanga, akampa mdogo wake upande.
Shemeji alipopata taarifa kua mtoto leo amekubali kutoa uroda alichanganyikiwa alirudi nyumbani mapema, baada ya chakula cha usiku, watu walikwenda kulala, saa sita usiku, shemeji akaenda chumbani kwa binti, alipofika binti akamwambia inabidi akatumie choo kwanza, akaenda moja kwa moja chumbani kwa dada yake akiwa amevaa upande wa khanga aliopewa na dada, akamwambi dada mtego uko tayari.
Msichana akaenda chumbani kwa mdogo wake akiwa amevaa kanga moja, akaisalula haraka akamkumbatia mume wake, psychologically mume alijua anakula nyama mpya akaenda goli la kwanza, na la pili hara haraka, akiwa anamuahidi binti mambo kibao. msichana akamwambia mume wangu kumbe ugenini unayaweza hivi. Mbona umenisusa, jamaa alikua mdogo kama kijiko chai.