Mume wangu kumbe ugenini unayaweza hivi?

Mume wangu kumbe ugenini unayaweza hivi?

Miezi mi4 hajamgusa shosti.....kisa yuko bize kutongoza....yaani jamaaa alikaa miezi mi4 bilabila....
Anapewa maximum ya 2m kwa mwezi.....miezi 4 zikafika 10m......miujiza....

Sasa......
Server na ijae tu..

Nyingine zilikua ni nyongeza in between.
 
Kila akiona embe dodo za shemeji anasubiri siku yake.

Sasa nikueleweshe.....
Wanaume hawako hivyo....kukosa hizo embe dodo kungemfanya amalizie hasira kwa mkewe....hadi atakapopewa...
 
Nyie wana MMU mbona mnamtisha huyu dada na biashara yake anasema anawaogopa MMU? Mmeshamrusha roho nini? maana huku ni rusha roho kwa kwenda mbele. hebu kuweni wastaarabu kama jukwaa la siasa.

HUko mmu napaogopa maana nikiwasoma naona kama watanishambulia. Ha ha ha ha ha.
 
Hii story alishawahi kusimulia Dr. Ndodi kwenye kituo cha Star TV.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye mpira wa miguu kuna home and away. ila ina chumvi nyingiiii!
 
sina nilichoelewa maana hata kumaliza kusoma nimeshindwa.
 
Watunzi wengi Tanzania, tunakosa waigizaji tu
 
Da kwahyo jamaa kapoteza fedha na makorokocho mengne bure kwa binti halaf ajala tunda
 
Back
Top Bottom