Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Status
Not open for further replies.
Wanaogopa sheria mkuu. Japo hata mimi siwezi kumpiga mwanamke na sijawahi kumuona baba yangu akimpiga mama.
 
Hivi ndugu zangu mmegundua kuwa Clepatina nina entourage?😂😬😃🤣😆.

Mmemuona bodigadi wangu lakini?😆🤣😃😬😂.
Yuko sambamba na mimi tokea huu uzi umeanza mpaka sasa.Ntamuongeza mshahara.Good job.Wengine wanachoka wanaondoka ila yeye bado mkakamavu.

Msinionee wivu nimemtoa kwa Putin.
Pia nina walinzi na wengi ni undercover.Wanapokezana shift tu.
😬😃🤣😆😂
 
Kataa ndoa
 
Wewe ni mama mlezi Bora sana unalea Kama kina mama wa Kiyahudi thus wayahudi ni smart sana akili mingi sababu ya malezi bora.
Malezi ya kipostivity na Sio haya ya kiafrica ya kuua vipawa vya watu thus tunapata watu wasio jiamini, mafisadi,watumia nguvu kuliko akili,wabinafsi sababu ya malezi mabovu
 
Asante kwa pongezi mkuu🙏🙏
 
Ila hii ilikuwepo toka zamani sana. Enzi hizo ushoga haujaenea tulikuwa tunaangalia tunaona kawaida tu miaka ya 2000's. Nilikuwa naipenda sana ila kwa hali ya sasahivi lazima ionekane ni mambo ya kuhamasisha ushoga hasa ukiangalia John mwenyewe ni mtoto wa mama.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Kwa nin wanasema wewe ni mwanaume,
Binafsi sijapata kiunganishi chochote Cha kuona wwe ni mwanaume
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…