Clepatina
JF-Expert Member
- Apr 8, 2023
- 1,266
- 2,577
- Thread starter
- #341
Kwa vile nampenda nitajitahidi kufanya ulivyoshauri ila hapo kwenye viboko acha nisipawaze sana mana kibinadamu najua lazima kuna siku nitamkwazaKama hii habari yako ni ya kweli basi achilia mbali anavyoreact kwenye mambo mazito jua tuu umepata mume bora
Unachotakiwa kufanya ni kumsaidia kuendesha familia ili hiyo tabia yake uliyoiona anapokasirika isitokee tena. Vinginevyo hata wewe utapata viboko tuu hamna namna😅😅😅