Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Status
Not open for further replies.
Wewe hakupigi atakupondaa🤛
 
Wewe unalea watoto unajua mama yao alikimbia Nini? Mtu huongea ukweli akiwa katika Hali ya hasira au utani. Alichokisema akiwa na hasira ndio uhalisia lakini waweza kumbadilisha taratibu mpaka akawa Kama mchungaji.
Mama wa watoto amefariki mkuu.
Naomba uniambie nawezaje kumbadilisha?
 
Ata Atakuuwa huyo
 
Daah!
Nilitamani kusikia tofauti na ninavyohisi sababu nampenda ila ni mzuri ila unauma.

Imagine mim mtu baki napata uchungu kuliko yeye baba yao mzazi
 
CHAI, CHAI,CHAI MBICHI KABISA.
 
kuna utamaduni mmoja nimeukuta ulaya, wazungu au westerners wote, ni wachache sana huwa wanapiga mke. ni utamaduni wao, mwanamke anaweza hata kukupiga kibao ila huwezijirudishia. tofauti na bongo mtu anaambiwa kabisa akakate fimbo alete achapwe. mzungu mmoja alimfumania kabisa mkewe, ila hakunyoosha mkono kurusha hata ngumi, ni mwiko kupiga mwanamke.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…