Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Status
Not open for further replies.
Si ndo huyo juz juz ulikua unajitapa umepata bwana lokole la kukuoa? Na ukasema kwa ajili yake unaachana na jf?
Ndo huyo mkuu.
Nampenda sana.
He is very kind ila akikasirika anabadilika.
 
Naona unataka kuvunja record ya kudate na Wanaume wawili ndani ya muda mfupi.

Yule wa JF mliachana baada ya mwezi mmoja wa kudate na huyu mpya unataka kumwacha ndani ya wiki 2.

Hata kama lengo la mahusiano ni kuongeza uzoefu, lakini hii yako ni too much 🙌
Hata ningekuwa nadate naye mim asingemaliza week moja nikiwa naye.

Huyu ni kichwa maji
 
kuna utamaduni mmoja nimeukuta ulaya, wazungu au westerners wote, ni wachache sana huwa wanapiga mke. ni utamaduni wao, mwanamke anaweza hata kukupiga kibao ila huwezijirudishia. tofauti na bongo mtu anaambiwa kabisa akakate fimbo alete achapwe. mzungu mmoja alimfumania kabisa mkewe, ila hakunyoosha mkono kurusha hata ngumi, ni mwiko kupiga mwanamke.
Kupigana ni ukatili tu.
Waafrika tunapenda violence
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom