Mume wangu, nimechoka kukusubiri

Nasiche

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2019
Posts
291
Reaction score
735
Kichwa cha habari hapo juu cha husika

Mume wangu popote ulipo nimechoka kukusubiri, sijui kwa nini utokei unaachia gap mabaharia kuendelea kunidanganya tu

Kwa sasa naendeleza gurudumu la maisha, nguvu nayotumia ni kubwa mno tungekuwa wawili ngetumia nguvu kidogo tu

Nishafikisha 27, nishamaliza chuo nishapata kazi japokuwa ndoto yangu kubwa ya kuwa billionare lady haijatimia

Nasali jumapili, rangi unayoijua bado ninayo sijatumia carolight

Hubby, Karibu pm uonapo uzi huu

Ur love Nasiche
 
Sijui kwanini nahusisha bandiko na high lite hiyo. Anyway ni weekend leo kichwa kina mengi hiki.

Nakutakia mafanikio mema kabisa Nasu, utampata aliyeandaliwa kwa ajili yako. Mungu ni mwema wakati wote. Ila angalia sasa hao mabaharia wasimmalizie kaka mkubwa tamu yake bana.
 
Nipo hapa mpenzi.Karibu nikukaribishe ktk moyo wangu. Nitakujali,tutapambana kujijenga na kuimarisha family yetu ambayo tutailea kisasa.32 aged,kibarua simple cha kupatia mkate kipo,tukiongeza nguvu zetu tutafanikiwa huku tukimtegemea mwenyezi Mungu.Naenda kanisani pia.
 
Gundo sakit! Wewe
Unaharibu kiswahili tu eti mume wangu uko wapi kwani umeolewa unatujazia server tu hapa










Nilikuwa natania tu sorry madam
The say person need just three things to be truly happy in this world someone to love, something to do and something to hope for

Umefanya pia uamuzi mzur kutafuta online sio vibaya kama wengi wanavyofikiria maana huwez jua

None of us know what might happen even in the next minute yet still we go forward Because we trust

Kila laheri ktk kutafuta
Karibu konyagi nashushia hapa kichwa kimesizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…