Nasiche
JF-Expert Member
- Jun 18, 2019
- 291
- 735
Kichwa cha habari hapo juu cha husika
Mume wangu popote ulipo nimechoka kukusubiri, sijui kwa nini utokei unaachia gap mabaharia kuendelea kunidanganya tu
Kwa sasa naendeleza gurudumu la maisha, nguvu nayotumia ni kubwa mno tungekuwa wawili ngetumia nguvu kidogo tu
Nishafikisha 27, nishamaliza chuo nishapata kazi japokuwa ndoto yangu kubwa ya kuwa billionare lady haijatimia
Nasali jumapili, rangi unayoijua bado ninayo sijatumia carolight
Hubby, Karibu pm uonapo uzi huu
Ur love Nasiche