Breki ya Kenge
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 715
- 1,004
Sawa, nimekusikia my wifeWife material ndo tumetoka kwaya, uelekeo nyumbani kuandaa chakula cha jioni..
Husband material popote ulipo pokea salam zangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, nimekusikia my wifeWife material ndo tumetoka kwaya, uelekeo nyumbani kuandaa chakula cha jioni..
Husband material popote ulipo pokea salam zangu!
Hubby material nimetoka fellowship , ngoja nisogee prime minister tuyajenge.Wife material ndo tumetoka kwaya, uelekeo nyumbani kuandaa chakula cha jioni..
Husband material popote ulipo pokea salam zangu!
Changamkia fursa
Najua ndio, experience haipatikan kwa mtu aloishi miaka mingi, bali yule alopitia mengi .Usikalili kwamba umri fulani ndio watoaji mimba sana Kuna vitoto kitaa vinachomoa mimba kama mkojo hasa wanafunzi.
Umri wangu ni sababu iliyochangia sijakuelewa.Najua ndio, experience haipatikan kwa mtu aloishi miaka mingi, bali yule alopitia mengi .
Lkn ili uwe na UZOEFU mwingi, umri wako pia nisababu inayochangia.
Aaahh nmemanisha, Uzoefu alonao Binti wa miaka 22..nintofauti na uzoefu wa binti wa miaka 30.Umri wangu ni sababu iliyochangia sijakuelewa.
Kwamba huoni neno delete chini ya reply yako au?Hahahaha shemela nielekeze jinsi ya kufuta comment
Ok nimekuelewa mkuuAaahh nmemanisha, Uzoefu alonao Binti wa miaka 22..nintofauti na uzoefu wa binti wa miaka 30.
Tukianza kumchambua mmoja mmoja, utagundua wamiaka 22 kuna sababu zinamzuia kutokua na uzoefu wa miaka 30 .
Ndo sasa nasemea...UMRI MKUBWA unachangia pia ktk UZOEFU .
Naamnisha ivi.... Tukichukua Binti wa 22 na wa 30 .... Alafu tukafanya wote ni watu wa wanaume /mwanaume , nakila mmoja alianza wanaume akiwa na miaka 18 .... Alafu tukafanya kwa kila miaka 2 kuna mimba moja.
Ni yupi kati yao atakua amebeba mimba nyingi????
Kama SIO kutumia NJIA ZA UZAZI WA MPANGO...uwezekano wa miaka 30 kua na mimba kibao nikama ulivyouona hapo juu!!!.
Njoo Pm.. Dear.Kichwa cha habari hapo juu cha husika
Mume wangu popote ulipo nimechoka kukusubiri, sijui kwa nini utokei unaachia gap mabaharia kuendelea kunidanganya tu
Kwa sasa naendeleza gurudumu la maisha, nguvu nayotumia ni kubwa mno tungekuwa wawili ngetumia nguvu kidogo tu
Nishafikisha 27, nishamaliza chuo nishapata kazi japokuwa ndoto yangu kubwa ya kuwa billionare lady haijatimia
Nasali jumapili, rangi unayoijua bado ninayo sijatumia carolight
Hubby, Karibu pm uonapo uzi huu
Ur love Nasu Zion
Hiyo ID yako tuuu jamaniSawa, nimekusikia my wife
Sawa husband materialHubby material nimetoka fellowship , ngoja nisogee prime minister tuyajenge.
HandsomeNaomba noifute hii reply yangu na ww futa yako pls
Hutaki mke?Hamna Fursa yeyote hapo, kwanini unafikiria ni Fursa
siku hizi katika umri huo wa 22- 25 hawataki kuishi na wanaume, wanasema wanatafuta hela kwanza ili wasinyanyasike kwenye ndoa.Kwa ufupi ktk huo umri, ndio mwanamke anakua na thaman kubwa sana, hajatoa mimba vya kutosha , hajaumizwa kwenye mahusiano sana n.k n.k ..
Sasa unakuta mdada 29--34 .... Huyu keshatembea sana wanaume... Nakama mimba alishapata sio.moja tu, keshaumizwa sana kiasi kwamba mpaka ukiwa naye anahisi ndo walewale.
Uzuri wa hawa wa makamo..ni wanajua nini wanataka + wanaelewa maisha+mahaba.
Shida ya hivi vibinti vidogo ,vinakua visumbufu na utoto na maringo ,lkn km vingejua ndo viko kwa umri maridadi,, Vingefaa sana.
the jackal
Yaaap nahapo ndo hesabu zao ndo zinawagomeaga.siku hizi katika umri huo wa 22- 25 hawataki kuishi na wanaume, wanasema wanatafuta hela kwanza ili wasinyanyasike kwenye ndoa.
wanaona kila mwanaume hapa duniani ni mnyanyasaji.
ila wakumbuke mwanaume ndio anaeoa, na mwanaume ndie anaechagua..
wao wakifikia umri wanaoona ni sawa kwao, angali wameshaanza kuwa vyuma chakavu, inabidi wao ndio wachukue majukumu ya kiume ya kuchagua mwanaume na kuoa mwanaume.
nioe halafu na ww nimuachie nani?Handsome
Hivi bado hujawowaa