Mume wangu, nimechoka kukusubiri

Mume wangu, nimechoka kukusubiri

Wife material ndo tumetoka kwaya, uelekeo nyumbani kuandaa chakula cha jioni..

Husband material popote ulipo pokea salam zangu!
Hubby material nimetoka fellowship , ngoja nisogee prime minister tuyajenge.
 
Njoo nipo huku mama nime kutafuta Sana kwakwel ebu njoo haraka
 
Usikalili kwamba umri fulani ndio watoaji mimba sana Kuna vitoto kitaa vinachomoa mimba kama mkojo hasa wanafunzi.
Najua ndio, experience haipatikan kwa mtu aloishi miaka mingi, bali yule alopitia mengi .

Lkn ili uwe na UZOEFU mwingi, umri wako pia nisababu inayochangia.
 
Umri wangu ni sababu iliyochangia sijakuelewa.
Aaahh nmemanisha, Uzoefu alonao Binti wa miaka 22..nintofauti na uzoefu wa binti wa miaka 30.

Tukianza kumchambua mmoja mmoja, utagundua wamiaka 22 kuna sababu zinamzuia kutokua na uzoefu wa miaka 30 .

Ndo sasa nasemea...UMRI MKUBWA unachangia pia ktk UZOEFU .

Naamnisha ivi.... Tukichukua Binti wa 22 na wa 30 .... Alafu tukafanya wote ni watu wa wanaume /mwanaume , nakila mmoja alianza wanaume akiwa na miaka 18 .... Alafu tukafanya kwa kila miaka 2 kuna mimba moja.

Ni yupi kati yao atakua amebeba mimba nyingi????

Kama SIO kutumia NJIA ZA UZAZI WA MPANGO...uwezekano wa miaka 30 kua na mimba kibao nikama ulivyouona hapo juu!!!.
 
Ok nimekuelewa mkuu
 
Kichwa cha habari hapo juu cha husika

Mume wangu popote ulipo nimechoka kukusubiri, sijui kwa nini utokei unaachia gap mabaharia kuendelea kunidanganya tu

Kwa sasa naendeleza gurudumu la maisha, nguvu nayotumia ni kubwa mno tungekuwa wawili ngetumia nguvu kidogo tu

Nishafikisha 27, nishamaliza chuo nishapata kazi japokuwa ndoto yangu kubwa ya kuwa billionare lady haijatimia

Nasali jumapili, rangi unayoijua bado ninayo sijatumia carolight

Hubby, Karibu pm uonapo uzi huu

Ur love Nasu Zion
Njoo Pm.. Dear.
 
Kwa ufupi ktk huo umri, ndio mwanamke anakua na thaman kubwa sana, hajatoa mimba vya kutosha , hajaumizwa kwenye mahusiano sana n.k n.k ..

Sasa unakuta mdada 29--34 .... Huyu keshatembea sana wanaume... Nakama mimba alishapata sio.moja tu, keshaumizwa sana kiasi kwamba mpaka ukiwa naye anahisi ndo walewale.

Uzuri wa hawa wa makamo..ni wanajua nini wanataka + wanaelewa maisha+mahaba.

Shida ya hivi vibinti vidogo ,vinakua visumbufu na utoto na maringo ,lkn km vingejua ndo viko kwa umri maridadi,, Vingefaa sana.

the jackal
siku hizi katika umri huo wa 22- 25 hawataki kuishi na wanaume, wanasema wanatafuta hela kwanza ili wasinyanyasike kwenye ndoa.

wanaona kila mwanaume hapa duniani ni mnyanyasaji.

ila wakumbuke mwanaume ndio anaeoa, na mwanaume ndie anaechagua..

wao wakifikia umri wanaoona ni sawa kwao, angali wameshaanza kuwa vyuma chakavu, inabidi wao ndio wachukue majukumu ya kiume ya kuchagua mwanaume na kuoa mwanaume.
 
Yaaap nahapo ndo hesabu zao ndo zinawagomeaga.

Unajua wanawake baan, wanajua kabisa kua kwao Umri ndio kila kitu.

Ila huwa wanajitoa akili nakufanya makusudi.

INGAWA...kuna wale ambalo hawakupenda isipokua katika huo muda ndio walihisi wamepata waoaji, kumbe wamepata wapigaji ...........
 
Back
Top Bottom