Mume wangu, nimechoka kukusubiri

Mume wangu, nimechoka kukusubiri

Utajijua mwenyewe !!!...

Wee ni kajinga...kwaiyo ulivoongea Ukamasi kamasi wako......ni Poaa

Ukajihis sababu mwanamke, nitaacha kukujibu????

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kapuuzi kweli, bila shaka wee ni kembamba zaidi ya wembamba wa wembe !!...

Ngoja nikuache !!!

Hahaaaa kuacha kunijibu najua huwezi..wanaume type yako ni wale wanaoona mwanamke hana haki ya kusema lolote, lol ..na akisema lolote ni tishio kwa uanaume wenu hivyo lazima arudishwe kwenye nafasi yake, nafasi ambayo mmelelewa mkikua nayo,,, lol..poleni 😂😂😂😂😊😊
 
Endelea kumsubiri nimemuona mtaa wa pili anakuja
 
Kichwa cha habari hapo juu cha husika

Mume wangu popote ulipo nimechoka kukusubiri, sijui kwa nini utokei unaachia gap mabaharia kuendelea kunidanganya tu

Kwa sasa naendeleza gurudumu la maisha, nguvu nayotumia ni kubwa mno tungekuwa wawili ngetumia nguvu kidogo tu

Nishafikisha 27, nishamaliza chuo nishapata kazi japokuwa ndoto yangu kubwa ya kuwa billionare lady haijatimia

Nasali jumapili, rangi unayoijua bado ninayo sijatumia carolight

Hubby, Karibu pm uonapo uzi huu

Ur love Nasu Zion
there is something wrong! yan wanachuo wenzako hawajakuona? wafanyakaz wenzako? hata mtaani kwako? had uje humu.....?? ah wap lazima wewe ni mfup, mweusi afu mnene kama unabishs tuma picha
 
u
Nipo hapa mpenzi.Karibu nikukaribishe ktk moyo wangu. Nitakujali,tutapambana kujijenga na kuimarisha family yetu ambayo tutailea kisasa.32 aged,kibarua simple cha kupatia mkate kipo,tukiongeza nguvu zetu tutafanikiwa huku tukimtegemea mwenyezi Mungu.Naenda kanisani pia.
usisahau kinga utapoenda kula mzigo this wkend
 
Kichwa cha habari hapo juu cha husika

Mume wangu popote ulipo nimechoka kukusubiri, sijui kwa nini utokei unaachia gap mabaharia kuendelea kunidanganya tu

Kwa sasa naendeleza gurudumu la maisha, nguvu nayotumia ni kubwa mno tungekuwa wawili ngetumia nguvu kidogo tu

Nishafikisha 27, nishamaliza chuo nishapata kazi japokuwa ndoto yangu kubwa ya kuwa billionare lady haijatimia

Nasali jumapili, rangi unayoijua bado ninayo sijatumia carolight

Hubby, Karibu pm uonapo uzi huu

Ur love Nasu Zion
Nanina wallah! Wapi bahariaaaaaaaaa! Bahati kama hizi huwa haziwangukii mabaharia!
 
Bado sijapata kazi naogopa utanidharau subiri kidogo tu nilime huenda nkafanikiwa, nikijenga hata kibanda ntakusaka sawa mumy? Vumilia kidogo na upunguze kuruhusu mabaharia maana mm huku wamenikomalia hawanipi
 
Kichwa cha habari hapo juu cha husika

Mume wangu popote ulipo nimechoka kukusubiri, sijui kwa nini utokei unaachia gap mabaharia kuendelea kunidanganya tu

Kwa sasa naendeleza gurudumu la maisha, nguvu nayotumia ni kubwa mno tungekuwa wawili ngetumia nguvu kidogo tu

Nishafikisha 27, nishamaliza chuo nishapata kazi japokuwa ndoto yangu kubwa ya kuwa billionare lady haijatimia

Nasali jumapili, rangi unayoijua bado ninayo sijatumia carolight

Hubby, Karibu pm uonapo uzi huu

Ur love Nasu Zion

Nb:Ukiwa dodoma utapewa kipaumbele
Kwanza vp bibie ulishapata mtu wa kukupa mtaji maana uzi wako wa kipindi cha nyuma ulikua unahitaji mtaji..miaka yako ilikua 28 leo naona imepungua.

Yote kwa yote mungu atajalia utampata mumeo.
 
Back
Top Bottom