Mume wangu, nimechoka kukusubiri


Hahaaaa kuacha kunijibu najua huwezi..wanaume type yako ni wale wanaoona mwanamke hana haki ya kusema lolote, lol ..na akisema lolote ni tishio kwa uanaume wenu hivyo lazima arudishwe kwenye nafasi yake, nafasi ambayo mmelelewa mkikua nayo,,, lol..poleni 😂😂😂😂😊😊
 
Endelea kumsubiri nimemuona mtaa wa pili anakuja
 
there is something wrong! yan wanachuo wenzako hawajakuona? wafanyakaz wenzako? hata mtaani kwako? had uje humu.....?? ah wap lazima wewe ni mfup, mweusi afu mnene kama unabishs tuma picha
 
u usisahau kinga utapoenda kula mzigo this wkend
 
Nanina wallah! Wapi bahariaaaaaaaaa! Bahati kama hizi huwa haziwangukii mabaharia!
 
Bado sijapata kazi naogopa utanidharau subiri kidogo tu nilime huenda nkafanikiwa, nikijenga hata kibanda ntakusaka sawa mumy? Vumilia kidogo na upunguze kuruhusu mabaharia maana mm huku wamenikomalia hawanipi
 
Kwanza vp bibie ulishapata mtu wa kukupa mtaji maana uzi wako wa kipindi cha nyuma ulikua unahitaji mtaji..miaka yako ilikua 28 leo naona imepungua.

Yote kwa yote mungu atajalia utampata mumeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…