Mume wangu, nimechoka kukusubiri

Mume wangu, nimechoka kukusubiri

Aise, ukutaka kudanganya lazima uwe na kumbukumbu, mwezi wa 11 atarudi 26.

Hii kwenye betting tunaita home under 26.5
Ikifika Januari anaanza tena kuhesabu kuanzia 20.
 
Amesema alishafikisha 27. So she is right kwa kuwa kuwa sasa hivi yuko 28.
 
Ndiwooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuomba uchumba, una sifa zote za mke mwema, unanifaa sana katika maisha [emoji8][emoji8][emoji8]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sitaki kuolewa kwa sasa, najiona kabisa sifiti kwenye hiko kiatu cha ndoa
Usijali utakapoona unafiti nafasi ya pili(mke wa pili/mke mwenza) utaikuta ipo wazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom