Mume wangu, nimechoka kukusubiri

Mume wangu, nimechoka kukusubiri

Kichwa cha habari hapo juu cha husika

Mume wangu popote ulipo nimechoka kukusubiri, sijui kwa nini utokei unaachia gap mabaharia kuendelea kunidanganya tu

Kwa sasa naendeleza gurudumu la maisha, nguvu nayotumia ni kubwa mno tungekuwa wawili ngetumia nguvu kidogo tu

Nishafikisha 27, nishamaliza chuo nishapata kazi japokuwa ndoto yangu kubwa ya kuwa billionare lady haijatimia

Nasali jumapili, rangi unayoijua bado ninayo sijatumia carolight

Hubby, Karibu pm uonapo uzi huu

Ur love Nasu Zion

Nb:Ukiwa dodoma utapewa kipaumbele
Una CHURA?
tapatalk_1569767930925.jpeg

#ASANTE
#YNWA
 
Sina kazi, ila kwangu love doesn,t ask why so i loved you before, ndoto pia kuwa bilionea kipindi kipind kijacho. na ninamapenz y kwel kwa kila atakaenipenda na kukubaliana.
 
Kichwa cha habari hapo juu cha husika

Mume wangu popote ulipo nimechoka kukusubiri, sijui kwa nini utokei unaachia gap mabaharia kuendelea kunidanganya tu

Kwa sasa naendeleza gurudumu la maisha, nguvu nayotumia ni kubwa mno tungekuwa wawili ngetumia nguvu kidogo tu

Nishafikisha 27, nishamaliza chuo nishapata kazi japokuwa ndoto yangu kubwa ya kuwa billionare lady haijatimia

Nasali jumapili, rangi unayoijua bado ninayo sijatumia carolight

Hubby, Karibu pm uonapo uzi huu

Ur love Nasu Zion

Nb:Ukiwa dodoma utapewa kipaumbele
Kuna takwimu niliziona eti wanaume wa dodoma wengi ni vichaa
 
Back
Top Bottom