Mume wangu, siwezi kushindana na mabinti wadogo wa mjini

Huyo jamaa kwa picha kantamanisha kitu, the way he's holding that butt... though lipo kwa nguo ya kitenge!!
 
Utaishia Kuvunjika Moyo Na Kufa Kabisa.[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kupenda ni choice! Kuna wakati huna sababu ya kumpenda mke Ila unachagua kumpenda, Huyo anamwongopea mkewe!
 
Mwanamke huyo nafikiri atakuwa hatokei Daslama hapa 😂 pongezi kwa jamaa kupata mke haswa!

Jijini mke ana madanga kama yote simu yake kama kituo cha polisi haiguswi kwani ana muda hata wa kuwaza mume atamuibia hata!

Yeye pachwee pakuchwe aende zake NMB akapambane na wateja dirishani. Lunch aende na workmate lunch wapige umbeya juu ya madanga waliojipolea kama wateja waliokuja pale kuweka fedha. Hivyo yani😂 akirudi kashapigwa mashine muanze kugombania sex hapo ndani kichwa kuuma na uchovu wa kazi kama kisingizio.
 
Jiroge ujifanye kama huyo mume wa kwenye bandiko kwa mtoto wa mjini daslama then utaufurahia show. Wanawake ukitafiti asilimia 80% wanatamani wawe na uhusiano kama huo ila tamaa ndio inawaangushaga 😂 yani ukiwa hivyo kwake we anakuona mshamba wa mwisho atakuchiti na madharau kedekede ukija shtuka unaweza kuzimia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…