Mume wangu, siwezi kushindana na mabinti wadogo wa mjini

Mume wangu, siwezi kushindana na mabinti wadogo wa mjini

Jiroge ujifanye kama huyo mume wa kwenye bandiko kwa mtoto wa mjini daslama then utaufurahia show. Wanawake ukitafiti asilimia 80% wanatamani wawe na uhusiano kama huo ila tamaa ndio inawaangushaga [emoji23] yani ukiwa hivyo kwake we anakuona mshamba wa mwisho atakuchiti na madharau kedekede ukija shtuka unaweza kuzimia kabisa.
Yeah wako hivyo, hawajui wanacho kitaka
 
Namshukuru sana mdingi, nilipokua mdogo alinipiga marufuku kuangalia tamthilia za kifilipino na kuniambia hizo tamthilia zimetengenezwa kwa ajili ya wanawake.
 
Mke hubaki kua mke na mchepuko utabaki kua mchepuko tu...tunagegeda tunarudi hom kulala n wake zetu
 
Back
Top Bottom