Si useme tu ni wewe mwenyewe.Kuna rafiki yangu ameniomba ushauri nimekosa cha kumshauri
Yeye ana mtoto mmoja ni single maza.kapata mwanaume ana watoto 3 .boys
Anataka wafunge ndoa kabisa. Sasa anawaza Bora apambane na mwanae mmoja au Bora aolewe akapambane na WA nne?
Uchumi WA jamaa ni WA Kati na yeye mwanae analea mwenyewe japo Hana uwezo Sana lakini maisha yanaenda
Na wanawake wanaotombwer nje ya ndoa au wanaume wanaowavulia nguo watoto (vitoto vya 2000) ni heshima gani wanapata?Wengi wanaamini ndoa ni ajira.. Au usipooa au kuolewa hutaheshimika kwenye jamii.
Aishi maisha yake,na ukiona unataka kufanya maamuzi afu unaulizauliza ujue hiyo siyo sehemu sahihiNdo maana nimeona nimuombee ushauri humu maana Mimi nikisema ataniona mbaya
Sasa kama umeachiwa mtoto akiwa na 1yr mpk sasa ana miaka 6 unamlea mwenyew kama baba bila mama.. Tunaitwaje? Au ndo Babamama ?Hakuna single faza, wanaume hawazai.
Nilijua tu mtasema ni Mimi.Si useme tu ni wewe mwenyewe.
And no god without youKwani lazima aolewe?
Mbona mnajitesa sana
I trust in God mkuu,not god.SorryAnd no god without you
But God cannot exist without you🤔I trust in God mkuu,not god.Sorry
Sahihi kabisaKama mwanaume hana pesa mwambie aachane naye la sivyo atabebeshwa jukumu la kulea hao watoto watatu.
By the way : kama jamaa angekuwa na pesa wala wewe na rafiki yako msingekuja kuomba ushauri.