LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
kuna wanandoa wenyewe wameamua isiwe taabu kugombana, kila mmoja ana michepuko ya wazi hakuna kuoneana wivi na wanaishi pamoja. Mama kamchanganyia hybrid mume wake analea watoto si wake. Jamaa naye kazaa nje na michepuko yake waziwazi na mke anajua. Ni ndoa ya ajbu sana, wako huru kujipatia wapenzi wapya waziwazi huku wanaishi pamoja nyumba mojaHaki bin Haki.
Ndio maana ninawaambiaga hawa mabinti wajitegemee. Ili kuondoa manyanyaso na utumwa.