Mumeo akiku-cheat na wewe m-cheat

Haki bin Haki.
Ndio maana ninawaambiaga hawa mabinti wajitegemee. Ili kuondoa manyanyaso na utumwa.
kuna wanandoa wenyewe wameamua isiwe taabu kugombana, kila mmoja ana michepuko ya wazi hakuna kuoneana wivi na wanaishi pamoja. Mama kamchanganyia hybrid mume wake analea watoto si wake. Jamaa naye kazaa nje na michepuko yake waziwazi na mke anajua. Ni ndoa ya ajbu sana, wako huru kujipatia wapenzi wapya waziwazi huku wanaishi pamoja nyumba moja
 

Nimeandikia binti zangu na wapo wanawake wengi ambao wanatumia kanuni hizi.

Kwa nini unataka sisi wanaume tuu ndio tu-cheat?
 

Kwa Watibeli hiyo haipo.
Utalipwa kisha utatimuliwa (ndoa itavunjwa)
 
Kuna mwanamke asiyetongozwa?
 
Nimeandikia binti zangu na wapo wanawake wengi ambao wanatumia kanuni hizi.

Kwa nini unataka sisi wanaume tuu ndio tu-cheat?
Mimi sitaki mtu a cheat. Kwanza ku cheat kwasabab mwenzako ka cheat unajiumuza mwenyewe.

Nilishawah kutana na scenario hii nyumban kwangu, wife anahis nime cheat amenikomalia kishenzi.. ananiuliza "kwahiyo na mimi unataka kunifundisha ni cheat"?

Wazee wa Havannah Cuba, nikajua tu hapa hamna kitu tena!.

Nikamwambia "kwan hata na wewe ukienda ku cheat, anayetombwa ni mimi au ni wewe"?
 

Raha ya msaliti ni kumfanyia tukio lilelile hiyo ondio furaha yetu Watibeli.

Jino kwa jino
Jicho kwa jicho
Ukucha kwa ukucha.

Hatujiumizi tunapolipa watu tuliowaamini alafu wakatufanyia ushenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…