GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Umbumbumbu ni kipaji, na Wapumbavu wenzako umewapata wamekupa likes kabisa, haya kanywe method Ines urudi Mirembe kwa afya yako kiakili sasa [emoji38][emoji124]Kituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri wa Kiarabu kutokana na hali kuwa mbaya zaidi.
Kwa game ya vibonde waarabu ya wabantu wa Congo Jana imenifanya niendelee kuamini Simba ni club kubwa sanaWatanikoma kwani Wametutesa mno.
Mental health is a serious issueKituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri wa Kiarabu kutokana na hali kuwa mbaya zaidi.
Ona hii mbuziiisema baba
dogo anajikuta sana huyuOna hii mbuziiiView attachment 2638923
King wa WATENDE!! Hujaenda kumzika baba yako marehemu Nimrod?Ukiona Great Thinker GENTAMYCINE niko Followed na 155 Great Thinkers hapa JamiiForums jua Mimi si Mpumbavu na Mshamba kama ulivyo sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Dogo IBRAHIM BENZAZA ametusahaulisha mambo ya msiba sisi wazalendo wa Taifa Stars. β½β½ππKing wa WATENDE!! Hujaenda kumzika baba yako marehemu Nimrod?
Hivi hapa kuna ''great thinkers'' wangapi? JF ilikuwa zamani siyo sasa imevamiwa na watu kama wewe na wafuasi wao walohitimu hizi elimu za kukariri za kibongo na wanaongozwa na ulimbukeni. Back to the topic: Hili litimu acha ifungwe tu kwa sababu imeingiza siasa kwenye michezo. Mibango ya rais uwanjani inafanya nini?Ukiona Great Thinker GENTAMYCINE niko Followed na 155 Great Thinkers hapa JamiiForums jua Mimi si Mpumbavu na Mshamba kama ulivyo sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!