Kila siku ilikuwa kelele Oooh "Bolizozo, Bolizozo!", mara ghafla mambo yamegeuka "IBRAHIM BENZAZA, IBRAHIM BENZAZA!".
Ni aibu sana unasawazisha goli, unashangilia hadi koo linapasuka, kisha dogo mmoja katili anakunyamazisha kwa goli la 2 ndani ya dakika hiyo hiyo. Kama siyo dharau ni nini hii?
Halafu MwanaFA alivyo mnafiki anamwonyesha saa ya mkononi Gharib kuwa muda bado upo mtasawazisha tena na kufunga la 3 kama Mganga wa kienyeji alivyosema, halafu kimoyo moyo anaomba game iishe muda huo huo. BENZAZA AAAA!!![emoji460][emoji460] [emoji38][emoji23][emoji1732]