Alisema yeye mzima hana maambukizi ila ana dalili zote za maambukizi labda waendelee kumuombeaKituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri wa Kiarabu kutokana na hali kuwa mbaya zaidi.
Hasira ya Nini sasa? [emoji3][emoji3][emoji3]Umbumbumbu ni kipaji, na Wapumbavu wenzako umewapata wamekupa likes kabisa, haya kanywe method Ines urudi Mirembe kwa afya yako kiakili sasa [emoji38][emoji124]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
We si ulisema uko nyutro?? Asee kumbe mlikuwa mnaumia kiasi hicho?? Poleni sanaWatanikoma kwani Wametutesa mno.
Sio ASFC?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Popoma
Leo unatamba
Hii Ni final ya CAF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila siku ilikuwa kelele Oooh "Bolizozo, Bolizozo!", mara ghafla mambo yamegeuka "IBRAHIM BENZAZA, IBRAHIM BENZAZA!".
Ni aibu sana unasawazisha goli, unashangilia hadi koo linapasuka, kisha dogo mmoja katili anakunyamazisha kwa goli la 2 ndani ya dakika hiyo hiyo. Kama siyo dharau ni nini hii?
Halafu MwanaFA alivyo mnafiki anamwonyesha saa ya mkononi Gharib kuwa muda bado upo mtasawazisha tena na kufunga la 3 kama Mganga wa kienyeji alivyosema, halafu kimoyo moyo anaomba game iishe muda huo huo. BENZAZA AAAA!!![emoji460][emoji460] [emoji38][emoji23][emoji1732]
.Kituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri wa Kiarabu kutokana na hali kuwa mbaya zaidi.
.Umbumbumbu ni kipaji, na Wapumbavu wenzako umewapata wamekupa likes kabisa, haya kanywe method Ines urudi Mirembe kwa afya yako kiakili sasa [emoji38][emoji124]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri wa Kiarabu kutokana na hali kuwa mbaya zaidi.
sawa mke wetu ulikufa ila sisi hatuwezi kufa nchi inatutegemea ndo maana mama mkwe wako katupa zile milioni 20 japo alisema angezitoa km tutaleta ubingwa...WEWE NA ANDAZI NI BORA ANDAZI TU KAA HAPO MUMEO BADO ANA KAZI YA KUFANYA 3th MayKituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri wa Kiarabu kutokana na hali kuwa mbaya zaidi.
Ngoja mujiza umkute mgonjwa wako aponee huko Algeria!Kituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri wa Kiarabu kutokana na hali kuwa mbaya zaidi.
NADHANI MKE NDO ALIKUFA MWAKA 1993Kituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri wa Kiarabu kutokana na hali kuwa mbaya zaidi.