Mumewe hawezi kusimamisha tena

Itakuwa ni vizuri aondoke haraka.

Hii itampa jsmaa presha ya kusaka pesa atibiwe.

Lakini ahakikishe naye harudi yakimshinda kule.

Maisha ni zaidi ya kukulana acheni ujinga
G ushauri gani huu tena 🙄??
Huyo jamaa stress alizonazo zinamtosha,akiongezewa na za kuachwa unataka ajinyonge😁
 
Mwambie atafute wa pembeni maana mwanaume kalitaka mwenyewe...
Asiondoke, aishi tu na kulea familia yake kwa amani, upendo na furaha, mwambie amheshimu huyo mwanaume maana hiyo ni ajali kama ajali nyingine ila atafute mchepuko nje wa kumtoa hamu
 
Nipe namba yako kwa ushauri zaid
 
Tatizo mnabuni mastyle mpaka shetani mwenyewe anaomba sub hataki kushiriki hizo dhambi.
 
Kwani si hapo umeandika au macho yangu hayasomi vizuri?
 
Mshipa unavunjikaje? Ila ujue tango halitaki ulikunje kwa kulazimisha, badala ya kupinda linavunjika jumla.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Katika hili usikatae uombe tu wenye kujua wakuelekeze ...nimeshasiki na kuona makala nyingi tu za hii kitu ..hata juzi kati Kuna madaktari flani wa muhimbili nadhani walitoa tafiti Yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…