Mumewe hawezi kusimamisha tena

Mshipa hauwezi kuvunjika kwani ni kama kamba. Mjegeje unaposimama siyo kwamba kuna mishipa kwa ndani kama spoku za baiskeli. Ni misuli tu na mishipa inajaza damu.
 
Huyo ni mumeo wala sio mume wa rafiki yako,na kwa uandishi huu inaonekana wote mlikutana pipa na mfuniko.
 
Umesahau kuacha namba za simu za rafiki yako na za kwako
 
Mshipa hauwezi kuvunjika kwani ni kama kamba. Mjegeje unaposimama siyo kwamba kuna mishipa kwa ndani kama spoku za baiskeli. Ni misuli tu na mishipa inajaza damu.
Kaulize daktari ndo utaijua kitu HAINA mfupa lkn inavunjika
 
KimeumanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Asante sana.wasipokuelewa hapa Basi tena
 
Hahaha hii chai bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
From medical perspective,
Kuvunjika mjegeje ni medical emergency, na sio tu emergency ni ina ambatana na maumivu makali sana, huyo kijana wako angeuza hata figo ili atibiwe 🀣🀣

Kitu namba mbili, matibabu ya kuvunjika mjegeje Muhimbili hayafiki hata 1.5M, huyo million 6 aliambiwa wapi?

Acheni kutufanganya kizembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…