Mumewe hawezi kusimamisha tena

Mumewe hawezi kusimamisha tena

Iko hivi;Kuna rafiki yangu anasema mumewe hawezi kusimamisha Tena mjegeje baada ya mshipa mmojawapo wa mjegeje kuvunjika.

Huyu mumewe alienda kwa mchepuko wake,Sasa wakati wa kunyanduana ndo mchepuko akaikalia.

Sasa alivyoikalia ndo mshipa wa mjegeje ukavunjika.
Mumewe hakusema alivyorudi home.Sasa si Unajua Tena mambo ya nyegeziiiii.

Sasa kila akiombwa tendo,mjegeje hausimami.
Weeee rafiki yangu kasema usinitanie mume wangu,Hali hii imeanza lini???

Akamwambia nieleze ukweli la sivyoo naondoka.

Ndo huyu bwana akajieleza kuwa nilikuwa kwa mchepuko hukoooo,wakati wa kunyanduana akaikalia,ndo akavunja mshipa wa mjegeje.
Wanaenda hospitali,matibabu NI milioni 6.

Upoooooooooooooooooooo??????

Rafiki yangu anaomba ushauri je aondokeee maana hiyo milioni 6 ya matibabu hawana.

Na bibie anasema hakwenda pale kula na kulala,yeye kafata mjegeje.

Sasa mjegeje umevunjika mshipa hukoooooo kwa mchepuko.
Tuchukue tahadhari maana utasikia ikalieeee.mwenzenu huyooooo,mjegeje haufanyi kazi,mshipa umevunjika.matibabu NI 6milioni.
Weekend njeeeema.Take care with your Mjegeje.na kubali TU vingine vikupiteeeeeaje
 
Kwenye Biology topic ya Reproduction ifundishwe kwa kina?

Ni hatari mtu mzima kuleta story kama hii kiungo chenye misuli na mishipa ya damu anasema kimevunjika kama crisp au biskuti
 
Wakati anakalia ulikuepo lakini mboni unazungumzia as if and if else and else if ulikuamo umejibanza behind the scenes nyuma ya camera?
Sikuwepo,lakini rafiki yangu alikuja kunieleza kuwa anataka kuondoka kwa hayo maswaibu
 
Kwenye Biology topic ya Reproduction ifundishwe kwa kina?

Ni hatari mtu mzima kuleta story kama hii kiungo chenye misuli na mishipa ya damu anasema kimevunjika kama crisp au biskuti
Hahaha!!!!hivi pale kwenye Shona pale kweli hakuna mshipa kweeeliiii???
 
Kuna VITU Wala hufungui vitabu.
Twende kwenye uhalisia.hebu papasa kuanzia kwenye kichwa Hadi kwenye shina.Practical is better than theory for sometimes
Ajabu kuskia mpira unavunjika.
Labda mwanetu alificha kipande Cha mbao ( 2x2 ).
 
Kuna VITU Wala hufungui vitabu.
Twende kwenye uhalisia.hebu papasa kuanzia kwenye kichwa Hadi kwenye shina.Practical is better than theory for sometimes
Unasemaje? Athumani kichwa wapi na upara wake unataka umfanyeje? Unatoa maelekezo ya kupiga NYETO?
 
Sikuwepo,lakini rafiki yangu alikuja kunieleza kuwa anataka kuondoka kwa hayo maswaibu
Basi ndio nakwambiaje PM ipo wazi km ukipenda umechoka mjegeja uliovunjika ipo ambayo haijavunjika asikufanyie hivyo njoo uukalie na huu
 
Back
Top Bottom