Mum's stress is passed to baby in the womb

Mum's stress is passed to baby in the womb

Hii inawezekana kabisa.... na nimeipenda saana.... imenikumbusha Music study moja
nishawahi fanya.... Kuna sub-topic ya topic fulani inaitwa "prenuptial Music studies"
Utafiti umeonesha mtoto huweza anza sikia mapigo/midundo ya music toka yupo
tumboni mwa mamake baada tu ya ile first trimester (miezi mitatu ya kwanza)...
kwamba akianza kucheza tumboni it is the most effective... mama unashauriwa
kumuwekea mwanao music pale tumboni... inamfanya awe calm... unaendeleza
hivo hata akizaliwa pia... wanasema it is really good for the baby's psychological health...

Jirani yangu alikuwa na ndoa mpya, hivyo akawa anaweka muziki mkubwa sana, alipata mimba akazaa mtoto mwenye mtindio wa ubongo, yaani, mtoto hakui, uti wa mgongo hauna mawasiliano, na full time mtoto analia tu, hosp. wanampa dawa za kutuliza maumivu ila hali haikuwa nzuri, kwa hali hiyo, mziki mkubwa kwa malaika siyo mzuri jamani.
 
JF ni zaidi ya chuo kikuu aisee!!!
 
Mpenzi wanaume wengine balaaa naona hawakuimbiwa music wakati wako tumboni...
Kuna dada fulani (roho inaniumaaaaaaaaaaa) alikua na mimba... mumewe kaja siku hio
usiku kalewa.... kamgongea maskini dada wa watu 9 months preg... kajivuta kwenda fungua
mlango... mumewe kapiga kama ngoma... kisa kachelewa kufungua mlango... alishikwa
uchungu usiku huo huo... akajifungua... na kufariki papo hapo,,,,

Jamani hii imenisikitisha sana..........doohh, hata sina la kusema.
 
Nakubaliana na wewe100%, kwani mama anayenyosha akiwa anaugulia uchungu fulani lazima na mtoto mchanga anayenyonya atakosa raha na utasikia akiguna mara kwa mara, mama mwenye mimba akiudhiwa akachukia sana, mimba inatoka tena inatoka, hii nina experience nayo, hivyo jitahidini makwazo yasiwepo home.

Kweli kabisa stress ya aina yoyote ile kwa Mama mjamzito inaweza kuathiri kiumbe mtarajiwa na hata kuharibika kwa ujauzito au kujifungua mapema mno na hivyo kuweka maisha ya mtoto hatarini.
 
Jirani yangu alikuwa na ndoa mpya, hivyo akawa anaweka muziki mkubwa sana, alipata mimba akazaa mtoto mwenye mtindio wa ubongo, yaani, mtoto hakui, uti wa mgongo hauna mawasiliano, na full time mtoto analia tu, hosp. wanampa dawa za kutuliza maumivu ila hali haikuwa nzuri, kwa hali hiyo, mziki mkubwa kwa malaika siyo mzuri jamani.

Kwanza katika hali ya kawaida personally nikiwa na mimba sauti kali saaana hata

kama ni Music inaniaffect mapigo ya moyo as if siwezi pumua kabisa...

Hapa music ni ile laini... sauti ya chini na nyororo...
 
Hilo ni kweli kabisa ADI miziki kama hiyo ndio inafaa wakati wa ujauzito...pia baba na mama kuanzia miezi mitano ya uja uzito (kama sikosei) wanaweza kuanza kuongea na kiumbe mtarajiwa na anapozaliwa baada ya muda mfupi huonyesha kuzijua sauti za Baba na mama kama walijitahidi kuongea naye wakati yuko tumboni.
 
It was great pleasure to read this thread!

All stress leads to negative emotions and further to 'emotional parasites' which are basically source of many illnesses.

... and as we have seen ...this can be transfered to our lovely unborn babies!!

Key word here is LOVE to all arround us and most important to our unborn babies and their Mom!!
 
Aine hongera saaana dear, Nakupongeza... mimi ni mama Pregnancy na

watoto will change you kama hujawahi kua mama... for the BEST...

Hivyo calm down dear... these things happen, but mara chache... Ondoa

kabisa wasi wasi and Relax.... Take good care of your self ok??

I real Love this advice ... !! Cool , Sweet and Energizer !!!!
 
Back
Top Bottom