Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Hii inawezekana kabisa.... na nimeipenda saana.... imenikumbusha Music study moja
nishawahi fanya.... Kuna sub-topic ya topic fulani inaitwa "prenuptial Music studies"
Utafiti umeonesha mtoto huweza anza sikia mapigo/midundo ya music toka yupo
tumboni mwa mamake baada tu ya ile first trimester (miezi mitatu ya kwanza)...
kwamba akianza kucheza tumboni it is the most effective... mama unashauriwa
kumuwekea mwanao music pale tumboni... inamfanya awe calm... unaendeleza
hivo hata akizaliwa pia... wanasema it is really good for the baby's psychological health...
Jirani yangu alikuwa na ndoa mpya, hivyo akawa anaweka muziki mkubwa sana, alipata mimba akazaa mtoto mwenye mtindio wa ubongo, yaani, mtoto hakui, uti wa mgongo hauna mawasiliano, na full time mtoto analia tu, hosp. wanampa dawa za kutuliza maumivu ila hali haikuwa nzuri, kwa hali hiyo, mziki mkubwa kwa malaika siyo mzuri jamani.