Muna alitaka kutuwastara, Mange kimambi nae kaumbuka kwa ubuyu feki

Gentleman P

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2018
Posts
370
Reaction score
453
Sakata la Muna ni moto lakini mbele ya maji haufui joto. Si ajabu kesho mkaambiwa Familia ya Muna imezika kimya kimya maana ina haki ya privacy na ni swala la kifamilia.

Mkanganyiko uliopo hadi sasa kwa mujibu Instagram, Twitter, Facebook na JamiiForums (leo nimeshinda mtandaoni nafatilia hili Sakata kona zote ili nijue muelekeo na kubashiri vyema, sikuwa na kazi lhalafu kuna bundle mwezi) ni kwamba:

  • Muna aliafiki msiba uwe kwa baba mzazi, Peter na akapewa nauli ya Ndege kwenda Nairobi ila akapanda Basi
  • Karudi kwa Ndege bila Mtoto (ikumbukwe familia zote za pande 2 zilikuwa Airport kuupokea mwili)
  • Inavyoonekana Muna yuko na arrangements zake na hasa na Kanisa lake, hivyo akatengeneza Script ya kujiangusha ioenekane kazidiwa haafu ije Gari imbebe kama Msaada wa Dharura, kumbe ni watu wake wa Kanisa
  • Gari ilipotaka kuondoka Mr. Chain na wenzake wakaanza kushout "mbona hawa hatuwajui, Muna shuka"...ila baadae Gari ikaondoka bila kujulikana inaenda Mbezi ulipo msiba upande wa Mama mzazi au Kanisani
  • Upande wa Baba walipohoji kuhusu Mwili wakaambiwa Muna alipodondoka kwa kuzimia na kuondoka aliondoka na Documents kwa hiyo hamuwezi kuchukua Mwili
  • Walipoongea na watu wa ndani/Cargo ikaonekana hata huo Mwili haupo
  • Ubuyu ukavuja kuwa kumbe Mwili uliwasili jana jioni, so Muna amepishana nao...why?? sijui
  • Upande wa Baba mzazi wakaanza Msafara kuelekea Mbezi na Kanisani maana wali daught huenda ni kweli mwili umewahi ila hawajui upo Kanisani au la, so wataenda kote
  • Kufika wakaambiwa mwili bado upo Nairobi unawasili kesho...sasa Muna alifata nini Nairobi? sijui
  • Kufikia mida ya saa 1o jioni, matusi, shuku na hisia hasi dhidi ya Muna zikaanza kupamba moto kwamba: 1. Anataka kumzika mtoto kimya kimya Usiku wa manane, meaning hajakubali msiba uwe kwa baba mzazi, hivyo ile kubali yake ya jana ilikuwa geresha tu. 2. Ana ajenda ya siri na Kanisa lake ndio maan wakaunda ile Script ya kumtoa pale Airport 3. Kamtoa mwanae Kafara na amekosea masharti ndio maana mambo yanaenda mrama 4. Lilikuwa ni dili la kutupiga rambi rambi kama alivyofanya Wastara, hivyo anacheza na Media ili kutuchanganya na mwishoe tutachoka na kuachana nae atumbue rambi rsmbi ambazo kwa sasa zinaitwa "ramba ramba"
  • Mange alitoa ubuyu/alirusha post kwamba Mwili unaingia leo jioni, na haujaingia, hivyo imemshushia credibility kwa mba source zake zimeanza kumsaliti, au hazinufaiki na yeye tena, au UVCCM wameshajipajika kwenye think tank/intelliegence kumpoteza maboya taratibu
Wacha tuone kesho Steve Nyerere, Muna & Co. watakuja na Script gani. Ila all in all, kama ni kiki, basi wasanii watambue kila jambo naturally lina mipaka, usitumie kifo/mauti/msiba kutafuka kiki. Na kama ni utapeli kama wa Wastara...basi watu kama Muna kuna genge kubwa nyuma yao na linahujumu Umma, pia Media inajishusha kufatilia ishu hizi zinazonufaisha wachache na kudumaza Umma usifocus kwenye shughuli za maendeleo. Serikali ije na mkakati wa kumonitor wasanii wetu otherwise ni janga kitaifa on the long run.

Kina Nyerere & Co. wameanza kushare picha ya Jeneza ambalo kiuhalisia ni refu na linaonekana la mtu mzima/kijana rika kama 17 hivi🙂 Sio kuumbuka huku? ni kama Wastara alivyoset mazingira ya chumba na kujipiga picha halafu akakosea Kanula.

Wana JF, Uchambuzi huu ni by myself Gentleman P, nimeshinda Online...bundle ni la mwezi kwa Router ya Smile.
 
Naona umemtaja Wastara mara kadhaa. Naomba kufahamu wastara alifanya uswahili upi boss ?
 
Nimesikiliza maelezo ya baba halali wa marehemu hadi machozi yamenilenga. Mtoto apumzike kwa amani ila huyu Muna wenu hana adabu kabisa japo na wewe mleta uzi ni mbeya balaa
SIo mbea mkuu, ni hobby tu ya kuwa mchunguzi na mfuatiliaji wa mambo
 
Ni wakati muhafaka sasa kwa TCRA kumaxmize data bandwidth kwa mitandao ya Instagram na Facebook maana imewafanya watu wawe mazezeta.
Ili mtu akichungulia tuu dakika tatu hata kama ana GB20 zinakaa.
Hahaha asee,ila kweli watanzania wamekua kweli mazezeta
 
Back
Top Bottom