Muna alitaka kutuwastara, Mange kimambi nae kaumbuka kwa ubuyu feki

Muna alitaka kutuwastara, Mange kimambi nae kaumbuka kwa ubuyu feki

mkuu kwani kufanya research ya jambo flani na kuweka hapa ni kukoswa kazi? vp km leo ni wikendi yangu? mm sio mtu mzuri tusikwazane tukaanza kudeal on each other brand ID maalumu kwa ajili ya kukimbiza jf watu km nyie
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Daah![emoji3][emoji3][emoji3]mange kweli maji

Ila wakaka wa jf bwana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
Wanajua kupika hao mweee napita tu naona wanavyo jimwaya mwaya
 
Back
Top Bottom