Muna alitaka kutuwastara, Mange kimambi nae kaumbuka kwa ubuyu feki

Muna alitaka kutuwastara, Mange kimambi nae kaumbuka kwa ubuyu feki

Dhaaaaaaaa huyu mwanamke
N zaid ya ibilis aiseee
Hii kick ama kweli imetik

Ila ujinga tu ndo mwingi Kwa familia
Inayomshaur ujinga kama huu
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] unajua kuna kaka aliwahi niambia wee sie
twajua kupika majungu usiombe dada kukutana nayo!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]at nn??
 
Dhaaaaaaaa huyu mwanamke
N zaid ya ibilis aiseee
Hii kick ama kweli imetik

Ila ujinga tu ndo mwingi Kwa familia
Inayomshaur ujinga kama huu
Sasa kama wanafanana unazani watamshauri nini!
 
Kama ni kweli alieyasema mange. Muna unamkataa mpaka mamaako mzazi .itakuwa kuna tatizo sio bure. Au hao walokole kuna maneno wanamwambia ? Ila na mange hana siri
 
acha nipambane na hali yangu.
kuna watu wanajua kufatilia maisha ya mtu mpaka unaogopa.
Mpaka jinsi ya kuishi ana mpangia, ale nini,avae nini.
Instagram kibokooo.
 
Back
Top Bottom