Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

MANGE kaumbuka huko Instagram anamlalamikia Muna kamwingiza chaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke anadanganya mzazi wa mwanae Hadharani ashindwe kumdanganya yeye yupo huko Marekani na simu yake tu
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]yaani looh!ila muna nyokooo!eti mwl Nungu sio mama yake mzazi[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]mjini kuna vitukoo
 
Mwanamke mwongo mwongo mtoto ana baba wawili kote alikuwa anawapiga hela na Kalala jr wa tatu naye kapigwa hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu Mange kaingia kichwa kichwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msiba umetokea kumbe anashinda online kuchat na Mange ile kufika Airport tu kazimia duh [emoji15] [emoji15]

[emoji2] [emoji2] [emoji2] hapo ndo aliponiacha hoi pa kuzimia airport!! Maigizo hadi kwenye kifoo

Huyu Dada sio mzima huyu!yaani ni muongo muongo mpk baasi

Huyu sio wa kua na urafiki nae
 
Mwanamke huyu ni shetani..ashukuru Mume mstarabu ungekutana na wakina chacha wewe saiv ungeshakunya kinyesi mjinga wewe
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]yaani looh!ila muna nyokooo!eti mwl Nungu sio mama yake mzazi[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]mjini kuna vitukoo
Ina maana amemkana huyu mama??? Alikua mwalimu wangu huyu mama (mwalimu moyo)
 
Nitaanza kuamini kuwa huenda mama yake amemtoa kafara huyu mtoto!..Maana si vitendo vya kawaida na inatisha sana mwanamke kuwa na roho ya namna hii!
 
Kwani muna akimzika mwanae kuna ubaya gani? Huyo peter si aende kwa muna si ana famili yake jamani,mwana ni wa mama mnatukana muna upande wa pili mwaujua acheni u..
Sikuwahi kujuwa kama wewe ni mpumbavu wa kiasi hiki, kwahiyo wewe unatumia ubini wa mama yako? Na kabila lako ni la mama yako? Pumbaavu kabisa.
 
Fekero kazini,kaona account maarufu kaumbuliwa
36113624_2055705297979927_4265117543875739648_n.jpg

Mange Sio Wa kumuamini Sana mjue.....
 
Back
Top Bottom