Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Mange hata km muongo lakini yaweza kua kweli kasemapia maana Muna na mama chui na paka...hawaelewani so akatake advantage hyo!!

Muna ni kichaa tu
shoga wewe ni mbea jamani unaweza ukamfikia warumi,huyo waliokuwa wanamfanyia maigizo pat nairobi kuna sehemu wamemtaja john sijui,na kuna mtu kasema ugomvi wa wazazi umesababisha kifo,nibriely niko hewani nakumbuka kido was sick ,muna aliokoka akawa anatoa ushuhuda wa mwanae
 
Busy kula ubuyu msibani
36148988_236979826905025_3393133084210626560_n.jpg
 
shoga wewe ni mbea jamani unaweza ukamfikia warumi,huyo waliokuwa wanamfanyia maigizo pat nairobi kuna sehemu wamemtaja john sijui,na kuna mtu kasema ugomvi wa wazazi umesababisha kifo,nibriely niko hewani nakumbuka kido was sick ,muna aliokoka akawa anatoa ushuhuda wa mwanae
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]sio mbea jamani!miye amu...

Napenda kufurahisha baraza tu
 
nipe summary nliyokuuliza
Sio john ni Joel baby wake Muna..

Huyu mtoto amekufa kwa rehma za Mungu hayo ya ugomvi kusababisha kifo hakuna lolote

Ila muna alikua anakula mpunga kwa Casto na Peter
 
Back
Top Bottom