Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]yaani looh!ila muna nyokooo!eti mwl Nungu sio mama yake mzazi[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]mjini kuna vitukooMANGE kaumbuka huko Instagram anamlalamikia Muna kamwingiza chaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke anadanganya mzazi wa mwanae Hadharani ashindwe kumdanganya yeye yupo huko Marekani na simu yake tu
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]yaani looh!ila muna nyokooo!eti mwl Nungu sio mama yake mzazi[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]mjini kuna vitukoo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hapo ndo aliponiacha hoi pa kuzimia airport!! Maigizo hadi kwenye kifooMwanamke mwongo mwongo mtoto ana baba wawili kote alikuwa anawapiga hela na Kalala jr wa tatu naye kapigwa hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu Mange kaingia kichwa kichwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msiba umetokea kumbe anashinda online kuchat na Mange ile kufika Airport tu kazimia duh [emoji15] [emoji15]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hapo ndo aliponiacha hoi pa kuzimia airport!! Maigizo hadi kwenye kifoo
Huyu Dada sio mzima huyu!yaani ni muongo muongo mpk baasi
Huyu sio wa kua na urafiki nae
Ina maana amemkana huyu mama??? Alikua mwalimu wangu huyu mama (mwalimu moyo)[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]yaani looh!ila muna nyokooo!eti mwl Nungu sio mama yake mzazi[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]mjini kuna vitukoo
Kumbe. Sikujua, hongera mzazi na pole kwa kuumiaNdo najua kuwa pat the smart boy amefariki,nimeumia kama mzaz4
Kiongozi ukiona una rafiki au mwanamke au demu tu anapenda bongo movies ujue huna mtu wa maana. Yani bongo movies ni majuha pamoja na wafuasi waoWanawake wa bongo movie hawanaga akili hata kidogo
kwa hiyo unasemaje?tuma pesa ya supu ya mzaziKumbe. Sikujua, hongera mzazi na pole kwa kuumia
Kasema si mama yake mzazi ndo maana anataka mtoto azikwe na Peter!Ina maana amemkana huyu mama??? Alikua mwalimu wangu huyu mama (mwalimu moyo)
Duuhkwa hiyo unasemaje?tuma pesa ya supu ya mzazi
Usigune mtu chake,mimi na huyu mzee tunadaianaDuuh
Sikuwahi kujuwa kama wewe ni mpumbavu wa kiasi hiki, kwahiyo wewe unatumia ubini wa mama yako? Na kabila lako ni la mama yako? Pumbaavu kabisa.Kwani muna akimzika mwanae kuna ubaya gani? Huyo peter si aende kwa muna si ana famili yake jamani,mwana ni wa mama mnatukana muna upande wa pili mwaujua acheni u..
Baba yako mzazi ndio anapewa hadhi isiyo yake.Mbona nasikia alikuwa bega kwa bega na mama mtoto kuuguza mtoto jamani mbona mnamuona muna mbaya wakati ndio ama wa mtoto,yaan wanaume wanapewa hadhi isiyo yao
OK,ndio hy supu? Asee hujamkawiza na mzinga wa hela ya supuUsigune mtu chake,mimi na huyu mzee tunadaiana
Mange Sio Wa kumuamini Sana mjue.....Hata mama nae anawezaje kuruhusu mjukuu awe na baba wawili na wote wanahudumia?!!au ndo kitega uchumi
Mange Sio Wa kumuamini Sana mjue.....