siyo mzinga namdai jogoo wa sabasaba miezi sasaOK,ndio hy supu? Asee hujamkawiza na mzinga wa hela ya supu
Mange hata km muongo lakini yaweza kua kweli kasemapia maana Muna na mama chui na paka...hawaelewani so akatake advantage hyo!!Mange Sio Wa kumuamini Sana mjue.....
shoga wewe ni mbea jamani unaweza ukamfikia warumi,huyo waliokuwa wanamfanyia maigizo pat nairobi kuna sehemu wamemtaja john sijui,na kuna mtu kasema ugomvi wa wazazi umesababisha kifo,nibriely niko hewani nakumbuka kido was sick ,muna aliokoka akawa anatoa ushuhuda wa mwanaeMange hata km muongo lakini yaweza kua kweli kasemapia maana Muna na mama chui na paka...hawaelewani so akatake advantage hyo!!
Muna ni kichaa tu
Duh una maaanisha au utani?siyo mzinga namdai jogoo wa sabasaba miezi sasa
au ndio mwanaume wa dar?Ukiona anavyoengea Peter unaona kuwa sio mwanaume wa kawaida aliyepigiwa mke aisee yaani hana hata hasira [emoji31] Limbwata
hao miaka mingi wameachana,ndo maana hana hasira ila kuna wanaume hawatakiwi hata wakutane na wanawake type za munaUkiona anavyoengea Peter unaona kuwa sio mwanaume wa kawaida aliyepigiwa mke aisee yaani hana hata hasira [emoji31] Limbwata
Unafkr utani,ngoja mwenyewe atoke kwenye ulinziDuh una maaanisha au utani?
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]sio mbea jamani!miye amu...shoga wewe ni mbea jamani unaweza ukamfikia warumi,huyo waliokuwa wanamfanyia maigizo pat nairobi kuna sehemu wamemtaja john sijui,na kuna mtu kasema ugomvi wa wazazi umesababisha kifo,nibriely niko hewani nakumbuka kido was sick ,muna aliokoka akawa anatoa ushuhuda wa mwanae
nipe summary nliyokuuliza[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]sio mbea jamani!miye amu...
Napenda kufurahisha baraza tu
Sio john ni Joel baby wake Muna..nipe summary nliyokuuliza
Mzalisha chema anatumia KY? Nayathamini marinda yangu ujuekwa hiyo unasemaje?tuma pesa ya supu ya mzazi
Hapa wako wapi sasa, mbezi au mwananyamala?Busy kula ubuyu msibaniView attachment 804182
Kwani sasa hivi ameokoka au tu anasali makanisa ya Kipentekoste?Before Muna kuokoka
View attachment 804333
Tatizo la wanawake Wafupi hawaoni Mbali wanajiona wenyewe tuUmeongea pumba sana mkuu.
Sawa mkuuTatizo la wanawake Wafupi hawaoni Mbali wanajiona wenyewe tu
Hapa wako wapi sasa, mbezi au mwananyamala?