tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Akipata pesa amuombe mganga umuongezee urefuUsicheze na tamaaa,
Mkuu nlikua na streem live kutoka onlineWeka hiyo video hapa mkuu
Naituma picha yakeUpo kama mimi, yaani hata kidogo.. na nimeshawishika kufungua hii mada baada ya kuona mada kama tatu humu jf kumuhusu huyo mtu... Ila kiukweli simfahamu wala kumjua kwa sura
Iweke aisee hata nimuone sura yakeNaituma picha yake
Asieumba aumbui kakaDada huo ni ukweli japo mchungu
Kwani ana shida ya mtoto? Angekuwa na shida ya mtoto asingemrusha umri kutoka kucheza kombolela na watoto wenzake mpaka kuwa kama Pdiddy.Mkuu kafara apate pesa?atakua na akili za lemutuz unaweza kukuta ndio mbegu yko ya mwisho ya uzazi usipate watoto tena
Wakovu najua hamna yule ni mdangaji kma kawaida,hao marioo wake hawana kitu zaidi ya kuuza sura nae tuHakuna wokovu hapo...kwanza kama kweli aliokoka na anajua kwamba yule jamaa sio baba mzazi wa huyo mtoto, alitakiwa atubu na kumwomba msamaha yule Mangi kwa kile kilichotokea badala yake Mtumishi wa Bwana anaendelea kuvuna ela tu na kumhadaa jamaa kwamba ni mtoto wake mpaka hapo mwishoni amepewa 2 million za nauli ya ndege ajabu amepanda Bus mpaka Nairobi na bado anamlipia ada (vijamaa vinavyoitwa baba vyenyewe ni kumpost mtoto tu ndio kazi inayojua na kugharamia kula bata tu)
Huyu c anakaa tu malaya wa kona barHuyo ndio Muna kwa wale mnaosema hamumjuiView attachment 803748View attachment 803749
Ahaa ok sawaMkuu nlikua na streem live kutoka online
Millardayo.com
Hizi Kiki NomaaDrama zinaendelea, taarifa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni kwamba mwanadada Muna amewasili kutoka nchini Kenya lakini tofauti na matarajio ya waombolezaji waliokuwa wakisubiri mwili wa marehemu mwanaye, Patrick, Muna amekuja jinsi alivyo.
Taarifa za ndani zinaeleza kwamba kumbe mwili ulishawasili Bongo kimyakimya tangu jana usiku na mpaka sasa upo hospitali umehifadhiwa. Lengo lake ni kama alivyoeleza awali, kwamba anataka yeye ndiyo asimamie msiba wa mwanaye na amzike kama atakavyoamua mwenyewe.
======
TAHARUKI imezuka kwa ndugu, jamaa na marafiki waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam baada ya mwili wa mtoto Patrick kudaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kuwasili uwanjani hapo leo.
bebe na ww unafuatiliaga udaku kumbe[emoji23] [emoji23]Mpaka Sasa naona muna ameshapata
Kick ya kutosha
seriously atakua mwendawazimu amtoe mtoto huyo huyo mmoja kisa pesa....jaman tusimuwazie mtu ubaya ukweli anaujua ye mwenyewMkuu kafara apate pesa?atakua na akili za lemutuz unaweza kukuta ndio mbegu yko ya mwisho ya uzazi usipate watoto tena
Bebe huu udaku hata nmeshindwabebe na ww unafuatiliaga udaku kumbe[emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kila konaBebe huu udaku hata nmeshindwa
Kuukosa maana spo hata ista lkn
Huko kwenye blogs ndo umejaa
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]anavimba mangi hataki kuonekana mwanaume wa DarMangi nae hajielewi analialia tu,mimi ningemwachia msiba wke azike mana nimeambiwa sio wng
Hajasemwa vibaya ni ukweli mtupu huo unajifanya umeokoka hpohpo mtoto anababa 12,unachukua ada,pesa ya matibabu,nauli ya kumpeleka nairobi mtoto halafu leo unasema mtoto si wangu,mimi ningefungua kesi ya madai unipe pesa yangu yote.seriously atakua mwendawazimu amtoe mtoyo huyo huyo mmoja kisa pesa....jaman tusimuwazie mtu ubaya ukweli anaujua ye mwenyew