Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Yani hii story ntamsimulia hadi bibi yangu alieko vwawa aijue,,,mana naona maajabu,,,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mjini kuna visa

Hata sijui nisimame upande upi naona kichina China tu hapa
 
seriously atakua mwendawazimu amtoe mtoto huyo huyo mmoja kisa pesa....jaman tusimuwazie mtu ubaya ukweli anaujua ye mwenyew
Wewe mtoto wako mmoja ungeweza kumrusha umri?

Maana mimi nilivyoanza kuziona picha nikajuwa ni Demonte type au Aki na Ukwa wa Nigeria kumbe ni katoto kweli

Mungu amshushie laana na amchapa malaya huyu kwa dhulumu haki za mtoto na kusababisha kifo cha mapema cha mtoto.

Sina hata chembe ya huruma kwa malaya huyu.
 
Dawa ziko mbili kufungua kesi ili mwenye haki apate,au kusubiria wkt misa inaendelea kwa hao walokole avamie n wahuni watembeze kibano na kuchukua maiti ndio dawa nzuri
Hyo ya wahuni ndo nimeipenda sana hyo

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unatembeza kisago mpk wanapata tabu sanaaaaa

Watapata tabu sanaa
 
teeeh huo ni utandawazi ndo unawaharibu ....... sikuhz ata watoto wanafunguliwa account na kupigishwa mapicha kuvalishwa vitu vya ajabu ajabu

malezi changamoto kisa u star....wanaume wanaozaa na hao nao wana moyo kweli
 
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]we ungekomaa na fidia tu baaaasi!muache azike kokote na huo ndo uanaume!

Kuvimbiana hakuna maana!!
 
teeeh huo ni utandawazi ndo unawaharibu ....... sikuhz ata watoto wanafunguliwa account na kupigishwa mapicha kuvalishwa vitu vya ajabu ajabu

malezi changamoto kisa u star....wanaume wanaozaa na hao nao wana moyo kweli
Ndo maana majizo hataki mtoto wake awekwe mtandaon
Ukiona picha ya fansi basi ni kwa ruhusa ya baba mtu!

Yaani hataki drama za kipuuzi,husda mbaya sana hawajui tu hawa mastaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…