warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Ila shoga angu kiboko khaa, warumi mie napenda ushirikina ila shoga angu umezidi, kwa hiyo wewe na kina wema na lulu kila wiki nyie mnaenda kuroga? Kwa hiyo na nyie kwenu ilikua kama ibada kila wiki lazima muende kwa tawire? Ila nimecheka khaa[emoji23], so muda wote ule wanakuita Muna machupi kumbe kweli ulikua unamroga Wema, jamen shoga angu mbaya wewe, ila kama umekiri kosa na kuamua kuokoka ubarikiwe.
Kupitia Kipindi cha EXCLUSIVE, cha Zamaradi Mketema, Mjasiriamali maarufu Muna love, amekiri kujihusisha na Imani za kishirikina huko nyuma ambapo alikua akishawishiwa na rafiki zake( hakuwataja) ila wanazengo tunawajua. Muna aliendelea kutiririka na kudai walikua wanaroga kila wiki kwa waganga tofauti wakienda kuroga waume za watu wawachukue, ambapo Muna kwa kauli yake alikiri ni kweli hayo mambo yalikua yakitokea, yani anampeleka shoga ake kwa mganga akimtaka mume wa mtu flan then baadae muna anakuta ni kweli yule Rafik yake amempata yule mtu aliyekua akimroga, ila alikiri nguvu hizo huwa hazidumu dawa zikiisha tu hao wanaume hurudi kwa wake zao. Pi amekiri kushiriki dhambi nyingi za kutisha na kuumiza Rafiki zake .
Ikumbukwe Apo awali Muna alikwaa scandal ya kumroga msanii wema sepetu na kuchukua nyota yake , kuiba chupi na kupeleka kwa waganga, wanazengo nadhan Mnajionea hali halisi ya wema sepetu alivyo sasa , yan haya maisha anayoishi Muna ya kifahari kihalali ni ya wema sepetu, ila kupitia ushirikina ameweza kumzima nyota ya mwanadada huyo na kuwa nayo yeye, Muna sasa hivi anapesa sana na mvuto kwenye jamii , ukiambiwa huyu Muna alikua anabeba mabag ya wema sepetu utakata, ila nyie marafiki wabaya khaa.
Muna aliendelea kukana kuwa si kweli hakuhusika na kifo cha mwanae kama wengi wanavyomtuhumu kutoa kafara, ila ni mapenzi ya Mungu kamchukua mwanae.
Hapa ngoja nikupe somo shoga yngu mimi mwenyewe mshirikina, huko kwa waganga ulikokuwa unahangaika kufanya mikataba na mashetani bila wewe kujua madhara yake ndo kilichosababisha kifo cha mwanao. Tunajua huwezi kumuua mtoto wako uliomzaa ila ile mikataba ya kishetani ndo iliyomuua mwanao, in short unalipa gharama ya madhambi uliyoyafanya, hiyo ndo hasara ya ushirikina shoga angu , na huo utajiri ulionao wala sio Yesu mi yale maagano na makafara uliyokua unayafanya ndo yamekuletea mafanikio, your biggest mistake was to sign the contract with the devil, satan always never plays fair, he will give you want you want ila lazima ulipe gharama, sasa shoga yangu gharama yenyewe ndio hiyo ya mtoto wako kutolewa kafara, aibu ya kuwa na baba wawili tofauti na changamoto nyingi ulizozipata, uzuri na wewe Ulikiri kabisa kuwa yote uliyopitia ni gharama unalipa dhambi ulizochuma uko nyuma, well we all pay our sins in different ways sema tu yako yanaonekana kwa kuwa wewe ni maarufu .
Ila kwenye hii was interview shoga angu unaonekaba ni muongo kupitiliza bado unajitaji kufunguliwa, kuna mambo unaficha, halafu uende ukapatane na Mama yako japo kinafiki .