Muna Love: Wakati naolewa na Peter nilikuwa na mimba ya Casto ya miezi miwili

safi Muna na hongera kwa kuutua mzigo Patric atakuwa na amani huko aliko
Unampongeza kwa lipi?unajua ninini maana ya mwanamke kuolewa kwa ndoa?

Akiwa anajua kwamba ana mimba aliyoipata ktk uzinzi iwaje akaolewe tena kanisani akiwa bado na dhambi ya uongo nafsini mwake?sina shaka wanawake dizain hii ni wale mnaenda kufunga ndoa kesho usiku huu unaenda kugongwa ngozi na sijui mnaita X sijui takataka gani!
 

Anaandaa filamu huyu, mwisho wa siku atatoa album
 
Kila msiba una sababu, Mungu ni mwema sana mpaka kaamua kumsitiri huyu mtoto kabla hata umri wake haujafika mbali.
Hebu chukulia huyu ni mama yako mzazi umefikia umri mkubwa unamsikia anafanya mambo kama haya huoni utatamani dunia itoboke uzame kabisa?
Kwanini uliolewa ukijua una ujauzito wa mtu mwingine , wangapi wameolewa baada ya kuzaa na heshima zao zimebaki na kama uliamua kufanya hivyo kwanini leo hii uliseme?
 
Naendelea kumpa Pole MunaLuv kwa mitihani aliyopitia,kwasisi watu tuliopitia mafunzo ya saikolojia/forensic na ubashiri uliotukuka kwa maelezo ya muna ambayo hajaweka wazi,inaonekana Peter Zakaria alikuwa anakula Ndugu wa Muna na ndio kisa kilichomfanya atengane nae.
 
Anatafuta kiki msije mkamsahau!
Hili limama ni tahira pase walahi

Hiyo ni kiki au kwikwi. Watu walinyamaza na kujizuia kushutumu wakimhurumia na kuweka ubinadam mbele. Sasa kwa hizi sarakasi atakipata anachokitafuta.
 
Usimwamini mwanamke, ishi nae kwa akili kama Mungu alivyoagiza.
 
Hiyo ni kiki au kwikwi. Watu walinyamaza na kujizuia kushutumu wakimhurumia na kuweka ubinadam mbele. Sasa kwa hizi sarakasi atakipata anachokitafuta.
Na iwe hivyo walahi
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…