Muna Love: Wakati naolewa na Peter nilikuwa na mimba ya Casto ya miezi miwili

Muna Love: Wakati naolewa na Peter nilikuwa na mimba ya Casto ya miezi miwili

Nanukuu; walikutana na Peter huko mbeya ,wakakaa kwenye mahusiano, ndani ya miezi miwili wakaamua kufunga ndoa..

Huko kwenye ndoa alikutana na vitu akaamua kuachika..

Ushauri, katika maisha usikosee kuoa au kuolewa.
 
Muna Muna Muna ungekaa kimya kau nadhani ingekuwa heshima zaidi........... yule baba Peter nae akiita waandishi wa habari itakuwa je? inakuwa je hata mama yako mzazi anakubali mkwe wake ni Peter? Muna Muna umesema Dr alikuambia huyo mtoto kwa jinsi alivyokuwa hakupaswa kupanda ndege hukuweza kugundua kwamba hakutakiwa kwenda safari ndefu? RIP malaika Patrick
 
Naendelea kumpa Pole MunaLuv kwa mitihani aliyopitia,kwasisi watu tuliopitia mafunzo ya saikolojia/forensic na ubashiri uliotukuka kwa maelezo ya muna ambayo hajaweka wazi,inaonekana Peter Zakaria alikuwa anakula Ndugu wa Muna na ndio kisa kilichomfanya atengane nae.
yeah ndo hivo
 
Sasa inasaidia nini kutangaza siri za ndoa yake?!
Kama ameokoka ukweli wake akatubu huko kanisani.
Hapa anampa nani faida?!
Wamwache mtoto wa watu apumzike zake, ameshatangulia mbele ya haki.

Kwa sasa waendelee na mambo mengine.
Kunyamaza ingekua uamuzi bora kuliko kitu kingine.
Tatizo Promo, Kick ya msiba imeisha hamjampa dill sasa anawakumbusha yupo, nu kama Tumbili Kafulila na Tbc.
 
Nanukuu; walikutana na Peter huko mbeya ,wakakaa kwenye mahusiano, ndani ya miezi miwili wakaamua kufunga ndoa..

Huko kwenye ndoa alikutana na vitu akaamua kuachika..

Ushauri, katika maisha usikosee kuoa au kuolewa.
Wewe tangu uzaliwe ulishawahi kuona ndoa ya miezi miwili?

Maana vikao vyenyewe tu vya harusi tunakaa miezi minne au zaidi.

Hapa nanusa harufu ya janjajanja jazz band.
 
Kwahiyo Peter ni baba mlezi na Casto ni baba mzazi, basi sawa haina shida, ila kisheria ni mtoto wa Peter, kibaiolojia ni wa Casto; case closed.

Mtoto wa nje ya ndoa anahesabika kuwa ni mtoto wa mama na si mtoto wa baba, ni hayo nkoi..
 
Hakuna mwanamke mjinga kama huyo muna,
Kwanza tu kitendo cha kumgeuza mtoto superstar bila kupenda ni ujinga uliovuka mpaka na haki za mtoto,
No wonder mungu akaamua mtoto apumzike
Mimi napigia mstari, wenye akili tumekuelewa.

Hata mke wangu huwa namuonya tabia za kutaka kunirusha umri niishi kama mzee wakati ndio namalizia ujana kuingia utu uzima.

Kila jambo na umri wake, kale katoto kalipaswa kawe kanacheza kombolela na watoto wenzake lakini mama mtu anavalisha micheni utasema ni Pdiddy, Shenzi kabisa huyu Muna.

Akiendelea na Uquma wake nitaamini amemtowa huyu mtoto kafara, hawana maana hawa malaya wa Bongo Mavi.
 
Sasa inasaidia nini kutangaza siri za ndoa yake?!
Kama ameokoka ukweli wake akatubu huko kanisani.
Hapa anampa nani faida?!
Mkuu hivi kunguru unaweza kumfuga akatulia kama kuku au bata? Never....
 
Back
Top Bottom